Waliobaka wamefungwa maisha, je aliewatuma nini kinaendelea. Haki ngumu sana!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nawaza tu kama wale jamaa wamefungwa maisha kwa kubaka

Vipi aliewatyma??

Na kama bado yupo mtaanj mmejipangaje kumlinda yule dada aliefwanyiwa usheenzi

Nawaza tu kama aliewatuma watuwake wameenda maisha

Usalama wa yule dada ukoje??
 
Umejuaje walitumwa?
 
Hadi muda huu siamini kuhusu hukumu ya hii case, naona km mazingaombwe.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mazingaombwe na kuna watu wamesimamia shoo hiyo? TLS na mashirika ya wanawake yalishakata rufaa kabla kesi haijaanza kusikilizwa walidai washtakiwa wamesomewa kesi chache. Ikachambuliwa ykabainika makosa kama 9 hiv ilibidi wasomewe
 
Nawaza tu kama wale jamaa wamefungwa maisha kwa kubaka

Vipi aliewatyma??

Na kama bado yupo mtaanj mmejipangaje kumlinda yule dada aliefwanyiwa usheenzi

Nawaza tu kama aliewatuma watuwake wameenda maisha

Usalama wa yule dada ukoje??
Wanasema hakuna ushahidi unaoonesha kwamba kawatuma
 
Kama unadhani shéria ina shida,tuma na wewe halafu wadakwe uone mziki wa karakana za police post

Aliyewatuma wauaji wa Mirembe Seleman wa GGM kahukumiwa kunyongwa pamoja na aliowatuma.

Shida ni zaidi ya shéria ni matooke Republic
 
Inaonyesha hujui stori nzima ipoje

Najua sana kiongozi, namaanisha hamna kutumwa mtu mzima mbele ya sheria ikawa utetezi! Mtu mzima unatakiwa kujua consequences za matendo yako kabla hujafanya, kama umetumwa uwe na ushahidi usiotia shaka ndio itakuwa nafuu yako japo mtaunganishwa wote!
 
Hadi muda huu siamini kuhusu hukumu ya hii case, naona km mazingaombwe.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi naona hivyo hivyo. Hivi waliompiga risasi Kombe unajua wako wapi?
 
Nawaza tu kama wale jamaa wamefungwa maisha kwa kubaka

Vipi aliewatyma??

Na kama bado yupo mtaanj mmejipangaje kumlinda yule dada aliefwanyiwa usheenzi

Nawaza tu kama aliewatuma watuwake wameenda maisha

Usalama wa yule dada ukoje??
Labda wamekana hajawatuma na kwamba waliamua tu wenyewe,maana lazima kuwe na ushahidi unaoonyesha aliwatuma...
 
Back
Top Bottom