Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Nashukuru kwa ufafanuzi wako, tangu mdogo nilikuwa naona wazazi wakitoa sana sio tu kukopesha hata sadaka wametoa sana na sisi tumeiga kwani hatukuona wamefilisika kwa kutoaMtu akija kukopa kwako, ikiwa unayo mpenusimzuilie.
Na usiweke moyoni kuwa ni LAZIMA akurudishie,
Ukimkopesha Kwa Imani, ni unamkopesha Mungu,
Mimi nimewahi wakopesha wengi na wakasema watarudisha lakini hawakurudisha,
Cha kushangaza ni kuwa, Mimi niliyekopesha sikupungukiwa chochote ninachohitaji, lakini niliowakopesha na wasirudishwe, taabu hazikuisha.
Nadhani umeona jinsi Mungu anavyofanya KAZI kuhusu Kutoa/ kukopesha.
Imeandikwa ni kheri Kutoa kuliko kupokea.
Katika Ulimwengu wa Roho, ukipokea kitu au msaaada Toka Kwa mtu katika mwili, mtu yule aliyetoa katika mwili, anapokea katika Roho Kutoka kwako.
Nimeona matajiri wengi waliogundua Hilo, Kila ijumaa hutoa pesa nyingi Kwa maskini, na Kwa kufanya hivyo, Mungu huhamisha baraka za maskini na kuzidi kumtajirisha tajiri maradufu Ili azidi kuwajali maskini.
Penda sana Kutoa/ kukopesha kuliko kupokea/ kukopeshwa, maana mambo hayo huenda vice versa!!
Ubarikiwe 🙏
Na kweli wengi ambao wanakopa na hawarudishi au wenye tabia za hivyo huwa wanaishi maisha magumu kwa kukosa Imani
Ubarikiwe pia