jiji
Member
- Jul 5, 2013
- 82
- 15
Ni mchanganyiko boys and girls
iko baharini kabisa
walimu wengi sana, pcm, cbg, egm, Eca, Hge, Hkl,
vurugu sasa hakuna ni shule iliyopoa sana, nilielezwa walimu kwa sasa wanapiga kazi si kama hapo awali
walimu watu wana degree wote, wengine masters na wachache Phd
tuongeeni hapa
wandug mpo