Waliochaguliwa kidato cha kwanza 2014

Niwemugizi7

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
27
Reaction score
7
Baada ya mbwembwe za aina yake kwenye usahihishaji wa PSLE 2013, Je, serikali kwanini hamjawapangia sekondari washindi?
 
BIG RESULT NOW NDO HIYOOOOO ngoja uyaone majina ya wasiojua kusoma wala kuandika wanaenda special schools
 
hivi hizi post za form one hazijatoka bado?
 
Hivi hayo majina ya waliyopangiwa kidato cha kwanza 2014 nitayapata kwenye website ipi?
 
kama matokeo kwenye mtandao ila majina ya waliochaguliwa kwenye kuta za ofisi za waratibu hiyo itakuwa snura(majanga)
 
hawa vip wameshindwa kuweka majina kwenye mtandao. big result gani hii vitu ambavyo sio endelevu. nitafuta web zote hamna kitu .
 
Yaelekea serikali inadanganya kuhusu majina ya wanaoenda kidato cha kwanza. Kwa nini hayapatikani hata ofisi zilizo chini ya TAMISEMI licha ya mtandaoni?
 
Yaelekea serikali inadanganya kuhusu majina ya wanaoenda kidato cha kwanza. Kwa nini hayapatikani hata ofisi zilizo chini ya TAMISEMI licha ya mtandaoni?

wizara ya Elimu kuna mambo mengi yanafanyika gizani kuliko kwenye nuru.
 
hawa vip wameshindwa kuweka majina kwenye mtandao. big result gani hii vitu ambavyo sio endelevu. nitafuta web zote hamna kitu .
Mkuu nami toka Jana nimeperuzi mtandao yote holaa. Wajukuu atakea pata ni mtandao upi yapo anipm
 
necta hakuna update yoyote..
Necta hawahusiki kupangia wanafunzi shule. Ni TAMISEMI wanahusika. Kama post tayari angalia website ya TAMISEMI au kama yamebandikwa mikoani kwa afisaelimu mkoa/mkuu wa mkoa au wilayani kwa afisaelimu wilaya/mkuu wa wilaya.
 
Mkuu nami toka Jana nimeperuzi mtandao yote holaa. Wajukuu atakea pata ni mtandao upi yapo anipm

Inawezekana haijawekwa kwenye mtandao ila zitapatikana katika ofisi za kata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…