Niwemugizi7
Member
- Aug 10, 2013
- 27
- 7
Baada ya mbwembwe za aina yake kwenye usahihishaji wa PSLE 2013, Je, serikali kwanini hamjawapangia sekondari washindi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atakaepata habari hizo atujulishe jamani
Yaelekea serikali inadanganya kuhusu majina ya wanaoenda kidato cha kwanza. Kwa nini hayapatikani hata ofisi zilizo chini ya TAMISEMI licha ya mtandaoni?
Mkuu nami toka Jana nimeperuzi mtandao yote holaa. Wajukuu atakea pata ni mtandao upi yapo anipmhawa vip wameshindwa kuweka majina kwenye mtandao. big result gani hii vitu ambavyo sio endelevu. nitafuta web zote hamna kitu .
Necta hawahusiki kupangia wanafunzi shule. Ni TAMISEMI wanahusika. Kama post tayari angalia website ya TAMISEMI au kama yamebandikwa mikoani kwa afisaelimu mkoa/mkuu wa mkoa au wilayani kwa afisaelimu wilaya/mkuu wa wilaya.necta hakuna update yoyote..
Mkuu nami toka Jana nimeperuzi mtandao yote holaa. Wajukuu atakea pata ni mtandao upi yapo anipm
Inawezekana haijawekwa kwenye mtandao ila zitapatikana katika ofisi za kata.