Salamuni wadau na wahusika wengine.,
Naomba kufahamishwa kama MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2011 yameshatolewa.
Tafadhali tujulisheni hapa.
Ajakusahau mtu nimeipata habari kuwa zipo njiani kutumwa usiwe na wasi mimi mwenyewe nasubiri selection so nitakujulisha kupitia jf je,wewe unachukua mchepuo gani?
No warry,
Izo F5 selections zikitoka tu lazima wale wenye dhamana na iyo sector watayatangaza officially. Na baada ya apo yatatoka ktk magazeti mbali2. Si unajua hii ni burning issue?? First lazima wayatoe ktk mitandao yao ya:
Wizara: www.moe.go.tz
Baraza:The National Examinations Council of Tanzania
Habari ndo iyo.
Salamuni wadau na wahusika wengine.,
Naomba kufahamishwa kama MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2011 yameshatolewa.
Tafadhali tujulisheni hapa.
nami nafuatilia hiyo ili nijue vijana wetu wamefanikiwa au tuangalie namna nyingine ya kuwasaidia,atakaye yapata tafadhali yarushe hapa jamvini kama kawaida yetu.