Waliochaguliwa kidato cha tano 2011

Waliochaguliwa kidato cha tano 2011

Emma M.

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Posts
204
Reaction score
6
Salamuni wadau na wahusika wengine.,
Naomba kufahamishwa kama MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2011 yameshatolewa.
Tafadhali tujulisheni hapa.
 
Mzigo bado matokeo yakiwa teyari tu kwenya vyombo vya habari utasikia vile vile wana JF wanakustua, relux endelea kula maisha!
 
StaffordKibona,
Ndume,
Kibirizi,
Asanteni kwa majibu.
Tafadhali nawategemea sana kunishtua mara tu yatakapo toka.
 
Bado tuu, au mmenisahau wadau?

Ajakusahau mtu nimeipata habari kuwa zipo njiani kutumwa usiwe na wasi mimi mwenyewe nasubiri selection so nitakujulisha kupitia jf je,wewe unachukua mchepuo gani?
 
No warry,
Izo F5 selections zikitoka tu lazima wale wenye dhamana na iyo sector watayatangaza officially. Na baada ya apo yatatoka ktk magazeti mbali2. Si unajua hii ni burning issue?? First lazima wayatoe ktk mitandao yao ya:
Wizara: www.moe.go.tz
Baraza:The National Examinations Council of Tanzania
Habari ndo iyo.

Salamuni wadau na wahusika wengine.,
Naomba kufahamishwa kama MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2011 yameshatolewa.
Tafadhali tujulisheni hapa.
 
Dah headings zinachanganya. Heading its like yashatoka unatufahamisha kumbe ndo wauliza km yametoka!!
 
nami nafuatilia hiyo ili nijue vijana wetu wamefanikiwa au tuangalie namna nyingine ya kuwasaidia,atakaye yapata tafadhali yarushe hapa jamvini kama kawaida yetu.
 
kama kuna mtu amedownload pdf ya haya majina naomba atuwekee hapa..........tafadhali
 
Jamani hii mitandao ya serikali yetu, kama ya kuuza viagra feki.
 
:crazy😀UH!!! Jamani kuna shule nyingine hata sizijui yani kama Mkwasa, iko wapi?,naombeni msaada wenu tafadhali
 
Back
Top Bottom