Waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2011

:lock1: people like you make the meaning of simple life
 
wadau mwenye contact za shule ya Oswald Mang'ombe naomba anipatie, ipo musoma vijijini.
 
Jamani msaada najaribu ku open hizo link zinanipeleka kwenye yahoo search tatizo litakua ni nini?
 
asante Chona, lakini link inakuwa slow sana kama kuna aliyedownload atuwekee kama attachment.

wazo zuri sana maana hakulaliki watoto wanataka kujua kama wamepangiwa kantalamba
 
Ni kweli inagoma utasema akiweza atuwekee majina kamili
 
selection hiyo imeshaondolewa na kuwekwa ya sasa ya 2012
 
Tunaona kwamba necta 2011 results haziko kwa kiwango cha juu bse da way wanavyo mark students exams its not affair at all but jamani hivi tutaendelea kweli ua ndo tunatwanga maji kwenye kinu?...................................?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…