Waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2011

Waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2011

wadau mwenye contact za shule ya Oswald Mang'ombe naomba anipatie, ipo musoma vijijini.
 
Jamani msaada najaribu ku open hizo link zinanipeleka kwenye yahoo search tatizo litakua ni nini?
 
Ni kweli inagoma utasema akiweza atuwekee majina kamili
 
Tunaona kwamba necta 2011 results haziko kwa kiwango cha juu bse da way wanavyo mark students exams its not affair at all but jamani hivi tutaendelea kweli ua ndo tunatwanga maji kwenye kinu?...................................?
 
Back
Top Bottom