Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

Status
Not open for further replies.
Mkuu siasa inahusika,wizara ijifunze kilichotokea immigration (constebo na koplo)
 
wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi imewasahau wahitimu wa kidato cha nne waliiomba kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada .mwenye tetesi post hizo zinatoka lini afanye kunisaidia habar tafadhali nashukuru sana. kama ni kutaabika tumetaabika vya kutosha jaman
 
Nataka kuuliza vp wizara ya elimu imeshatoa majina ya kujiunga na vyuo vya ualimu kwa ngazi ya astashahada na stashahada? Kwani naona website yao wameifunga
 
kwa taarifa nilizonazo ni kwamba mafunzo ya III A yamefutwa rasmi tanzania. NA vyuo vya ualim vya serikal vitapokea wanachuo mwez wa 10 kwa mafunzo ya stashahada.
 
kwa taarifa nilizonazo ni kwamba mafunzo ya III A yamefutwa rasmi tanzania. NA vyuo vya ualim vya serikal vitapokea wanachuo mwez wa 10 kwa mafunzo ya stashahada.

hiyo taarifa kakupa mama yako mdogo anayeliwa na kawa- mbwa
 
Kuna tetesi kuwa serikali imeacha kutoa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti (certificate). Kuna taarifa kuwa wakuu wa vyuo vya ualimu (serikali) wameshatumiwa barua kuhusu hili. Walengwa wote fuatilieni hili kupata ukweli wake


Wale wa diploma subirini mpaka October
 
nimepata taarifa kuwa second selection imetoka leo kwa aliyeyaona atuwekee hapa jamvini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…