Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

Status
Not open for further replies.
Jamani mwenye tetesi kuhusu waliochaguliwa kujiunga na ualimu cheti na diploma nijulisheni
 
Na vpi jamani kuhusu mikopo kwa sisi tulioaply diploma uhakika kweli au serikali ni plopaganda?
 
sikia niwapeni taarifa wadogo mnaosubiri post za ualimu kifupi ni kwamba waliopo chuoni sasa hivi wamefanya mtihani wa mchujo mwez huu mwanzon sasa matokeo mpaka mwezi wa tisa au kumi inamaana watakao rudia mwaka ndo mtaanza nao ho ndo wameanzishiwa kabilishi BIG RISAT NAU BRN

hapo ni vigumu kukuamini.
 
Kama ulifaulu phsc, chem, bios, maths na uliomba dip mkopo lazima upate kwani serikali inawahitaji nyny kama Almasi. Najua tumechoka kitaa ila subira ndio muhimu bado siku chache
 
Mbona web page ua heslb aifunguk, wakat nmesha lipa 30 kwajil ya maombi ya mkopo wa diploma.
Inamana wamenila pexa yng au vp?
 
Subra inahitajika, c mnakumbuka hata post za kuingia f5 mwaka huu zilikuwa kizungumkuti. Tuvute subra
 
Mbona hawa heslb wanazingua,,,mkopo inakuaje ss jaman nsaidieni kupata jibu website yao sku ya 4 hii aipatikani,,,,,nsaidieni
 
Dah!Wangetoa tu hzo post[ualimu na 2nd selectn(v)]Coz madogo wanatia huruama !"sasa hii manaake nn mnafungua website[www.moe.go.tz] pasina posts mnazngua !"
 
Ndugu,zoezi la kuchagua wanaf wenye sifa ni zito maana wizara kwa mwaka 2014/2015 ilinyumbua na kupata categories nyingi tofauti na miaka ya nyuma,huenda hali hii imefanya mchakato kuchelewa.mswahil anasema haraka haraka haina baraka LAKINI ngojangoja yaumiza matumbo,nina imani na serikali sitegemei serikal iniangushe.TUVUMILIE.
 
so what?

majina ya monduli tayr mbona wasimalizie na hayo mengne kwan kuna tatizo?
 
Tangu kidato cha nne waingie jukwaani humu kumekuwa na vichekesho vya kila aina.
 
Zoezi la kuwapangia vyuo wanafunz wenye sifa lilimalizika mda mrefu tatizo kuna mambo ya siasa tu ndani yake
 
Ndugu,zoezi la kuchagua wanaf wenye sifa ni zito maana wizara kwa mwaka 2014/2015 ilinyumbua na kupata categories nyingi tofauti na miaka ya nyuma,huenda hali hii imefanya mchakato kuchelewa.mswahil anasema haraka haraka haina baraka LAKINI ngojangoja yaumiza matumbo,nina imani na serikali sitegemei serikal iniangushe.TUVUMILIE.

hakuna cha uzito kazi ya selection ilimalizika tangu july18 kwa yale maombi ambayo deadline ilikuwa may 30 hapa Tz siasa ndio inasumbua kaka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom