Abel james
Senior Member
- Jun 12, 2014
- 103
- 8
duu kazi kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naombeni msaada wenu je majina ya waliochaguliwa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada yameshatoka na kama bado yanaweza toka ln? Msaada wenu tafadhali...
hv uliomba kupitia nacte (online application) au wizara kutumia barua???????
hv uliomba kupitia nacte (online application) au wizara kutumia barua???????
Majina yatatoka hivi karibuni na watakaochaguliwa wengi ni waliofaulu masomo ya sayansi, hisabati na english. Tulioomba kusoma dip ya miaka mitatu tujiandae na serikali itatupatia mkopo wale tutakasoma masomo ya sayanai, math na english.Naombeni msaada wenu je majina ya waliochaguliwa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada yameshatoka na kama bado yanaweza toka ln? Msaada wenu tafadhali...
ht mm niliomba. vp wew uliomba chuo gan????