Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

Status
Not open for further replies.
mafunzo ya ualimu yataanza rasmi tar 6/10/2014, mweny tetes za post tafadhar
 
jamani hali imekuwa mbaya matahani simuletee post za ualimu mbona shda maana naona hukitaka kujua #kipaji chako fukuzwa kazini, kuna wengne hawana vipaji lakin sasa hv wanaimba ,huku wakisubiri # ualimu
 
Ni baada ya rais jakaya kikwete kutoa tamko kwamba kuanzia mwaka kesho shule zote zitafundishwa kwa degree holder tu
kutokana na kauli hii inamaanisha kwamba mwaka huu hakuna mafunzo ya ualimu kwa aliyepata division four ya points 27/34 katika mtihani wake wa kidato cha nne ,,bali yatatolewa mafunzo kwa waliopata div1_3 ktk mtihani wao wa kidato cha nne...ndo maana mpaka leo serikali imetoka majina ya kujiunga na mafunzo ya ualimu ktk chuo kimoja tu cha ualimu monduli arusha...
 
usitoe taarifa ambazo huna uhakika nazo,wewe ni mganga wa kienyeji nini

Habar ndio hiyo mkuu,,we jiulize kwann serikal wametoa post ya kujiunga na chuo kmoja cha monduli? hafu km unakumbuka serikal ilipokea tena maombi ya kujiunga na ualimu kwa wale wenye dv1_3 wakasema hv watasoma miaka m3 huku wakisoma advance miaka2, na kumalizia mwaka wa mwisho kwenye vyuo vya ualimu..WATANZANIA AMKENI
 
Habari yenu,kama kichwa kijielezavyo hapo juu,walewote mliokuwa mnasubiri majina hayo,yametoka na yamebandikwa wizarani,kama kuna m2 ambae ataweza kupata soft copy atuwekee hapa !hawajaweka kwa mtandao 7bu wanadaiwa deni thanks!
 
sasa wote tutaweza kwenda huko wizaran? kwann wasingesambaza hata kwa maafisa elimu mkoa? tz bwana..!
 
sekta gani hii yenye uongozi mbovu ucokidhi mahitaji ya watumiaji wake
yaan hii wizara inakera jaman inaleta stress kila cku au ina laana hii?
y haitujali?
hv watumshi wake wanapokea mshahara kweli kila mwezi?
kwa kazi ipi?
tumechoka bwana kama vp waongee moja tuelewe co tunawekana matumbo joto tu!!!!!!!!!!!
na hili ni tatizo la kuongozwa na wanachama wa C.C.M tu NDIO MAANA UTENDAJI KAZI NA UTEKELEZAJI NI MBOVU KILA MWAKA.............
by Mpogoro Mwenye Msimamo
De Eldo Da Pric.
 
Matemag unapotosha umma.
Haiwezekani majina yabandikwe wizarani wakati katika tangazo la mafunzo ya ualimu lilisomeka kuwa majibu yatatolewa katika tovuti za NACTE,PMORALG,MOE.
Acha kudanganya watu.
Na ulisema una majina ya second selection soft copy umepewa yako wapi??
¦°A vipi kuhusu jamaa yako wa wizaran? kwanini asikupe na hayo ya ualimu.
ukiwa unapotosha uwe na kumbukumbu.
overr!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…