Waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili?

Waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili?

Masai wa Town

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
7,009
Reaction score
25,406
Wakuu, kwa kada ya Maendeleo ya jamii (grade II) waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili? Maana Hadi Sasa hawajaweka na vituo vya oral tuliambiwa ni tofauti na vya written
 
Tafuta mawasiliano ya Taasisi husika wawape maelekezo.

Otherwise nikutakie interview njema
 
Tafuta mawasiliano ya Taasisi husika wawape maelekezo.

Otherwise nikutakie interview njema
Ahsante mkuu ila wahusika ni PSRS na simu zao hazipokelewi. Wasiwasi ni kwamba muda umeenda na huwenda wakaja kututaarifu kesho mchana tukakosa muda wa kusafiri
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Hao watu wapumbavu sana kuna mdogo wangu kaitwa hajui aende kituo kipi,muda unakwenda na simu hawapokei wala hawajibu chochote
 
Wakuu, kwa kada ya Maendeleo ya jamii (grade II) waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili? Maana Hadi Sasa hawajaweka na vituo vya oral tuliambiwa ni tofauti na vya written
Rejea tangazo la tarehe 25.05.2025.Ndio kuna maelezo ya mahojiano kwa kanda.Hii ni baada ya kumuandikia emmail katibu.
 
Kwa kweli wanazingua mnoo , sasa ndiyo nini unaita watu written vituo huwapangii
 
Back
Top Bottom