Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
Ahsante mkuu ila wahusika ni PSRS na simu zao hazipokelewi. Wasiwasi ni kwamba muda umeenda na huwenda wakaja kututaarifu kesho mchana tukakosa muda wa kusafiriTafuta mawasiliano ya Taasisi husika wawape maelekezo.
Otherwise nikutakie interview njema
Rejea tangazo la tarehe 25.05.2025.Ndio kuna maelezo ya mahojiano kwa kanda.Hii ni baada ya kumuandikia emmail katibu.Wakuu, kwa kada ya Maendeleo ya jamii (grade II) waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili? Maana Hadi Sasa hawajaweka na vituo vya oral tuliambiwa ni tofauti na vya written