Jamani NACTE wametuelekeza kuwa tuombe mkopo ila tar ilishapita ya mwisho yaani heslb walitangaza kuwa tar ya mwisho kuomba mkopo ni tar 10th september wakati majina nacte wameyatoa tar 14th september.
Je, HESLB wataongeza muda, mwenye tetesi tafadhali.
Kwa mujibu wa NACTE wanasema mpaka ss unaweza kuomba mkopo lkn heslb ktk web yao deadline ilikuwa 10/9 ila nimefanya process za OLAS lkn nimekwama kwenye stage ya submit naandikiwa invalid transaction ID! mi nadhan 2subiri tamko kutoka heslb otherwise 2tapoteza 2 hela!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.