Waliochaguliwa ODSE-DODOMA kwa kidato cha nne 2014/2015

Waliochaguliwa ODSE-DODOMA kwa kidato cha nne 2014/2015

ismailyy

Senior Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
123
Reaction score
18
Jamani NACTE wametuelekeza kuwa tuombe mkopo ila tar ilishapita ya mwisho yaani heslb walitangaza kuwa tar ya mwisho kuomba mkopo ni tar 10th september wakati majina nacte wameyatoa tar 14th september.

Je, HESLB wataongeza muda, mwenye tetesi tafadhali.
 
NACTE wanasema kuwa wale walioomba diploma ualimu udom muda wa kuomba mkopo bado unaendelea.

Chanzo cha habari nacte facebook
 
Kwa mujibu wa NACTE wanasema mpaka ss unaweza kuomba mkopo lkn heslb ktk web yao deadline ilikuwa 10/9 ila nimefanya process za OLAS lkn nimekwama kwenye stage ya submit naandikiwa invalid transaction ID! mi nadhan 2subiri tamko kutoka heslb otherwise 2tapoteza 2 hela!!!
 
Back
Top Bottom