Waliochaguliwa UDSM undergraduate

Waliochaguliwa UDSM undergraduate

Nashukuru sn wajumbe wa jf sina chakuwapa Ila mungu ndio atawalipa tuendelee na mshikamano huu tuzidi kupeana update na kuelekezana vya msingi tukikwazana tusameeane, nimechaguliwa udsm. Thanks soooo muuuch.

course program ipi? Kijana
 
PSPA ole wako uanze kuisiliba, jina AVELIN KALIPEN
 
S1164/0084/2010 ENOCK PASTORY (UD048) Bsc.Education in Commerce.
Kaka hongera jina lako lipo ulichaguliwa s/n 6 kati ya 30 waliochaguliwa pts zilikuwa 7.5 kasome ss cose mkopo utapata inshallah
 
Nashukuru sn wajumbe wa jf sina chakuwapa Ila mungu ndio atawalipa tuendelee na mshikamano huu tuzidi kupeana update na kuelekezana vya msingi tukikwazana tusameeane, nimechaguliwa udsm. Thanks soooo muuuch.
Sasa wewe unatushukuru sisi kwa lipi la maana tulilokufanyia?? Wewe nenda kasome, tena usome kwa juhudi na maarifa. Epuka vishawishi vya ngono na anasa. Hakikisha unapata first class.
 
Kaka hongera jina lako lipo ulichaguliwa s/n 6 kati ya 30 waliochaguliwa pts zilikuwa 7.5 kasome ss cose mkopo utapata inshallah

Lakini sijui user name umekosea kidogo maana inasomeka s1164/0083/2010 na jina Pastory Enock
 
Hawa SAUT main campus ndio mpaka lini kama UDSM wametema yakwao, cha kushangaza eti chuo kinafunguliwa tar 9 mwez wa 9
 
Back
Top Bottom