Waliochaguliwa UDSM undergraduate

msaada jamani nichekieni
WILSON PASTORY
MFUNGO MABUNDE
PHAUSTINE YOHANA.

Mnaoomba tuwachekie andikeni details za kutosha yaani user name,program name,program code na jina lako ndo mtu unaweza pekua maana pages ziko 382 na sio downloadable unawatch online
 
Msiwe na presha maana yanaendana na yale ya airtel.Airtel ilitoshaa.
 
Mnaoomba tuwachekie andikeni details za kutosha yaani user name,program name,program code na jina lako ndo mtu unaweza pekua maana pages ziko 382 na sio downloadable unawatch online

poa ngoja niwaulize madogo details zao ntakupa feedback mkuu. Asante.
 
kwaiyo kama ukichaguliwa muce join instrtn na adm later unaifata huko irnga hata kama upo dar?
 
Kama chuo kikuu cha dar es salaam udsm kimekuwa chuo cha 4 Africa 2013 kwa ubora kwa hali hiyo ilivyo vuta picha vyuo vingine vya nchi zingine vitakuwaje.
 
mkuu kabla ya kuanzisha thread kagua kwanza kama kuna ambayo inaendana na unayotaka kupost then upost.
Mnatujazia jukwaa bure
 
kaka naomba uniangalizie mdogo wangu anaitwa meshack simon gerson,plz plz nisaidie kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…