Waliochaguliwa wizara ya afya!!!

Waliochaguliwa wizara ya afya!!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Naomba kufahamu ni lini wizara itatangaza hayo majina wakuu!!

Natanguliza shukrani,.
 
subiri nadhani next week zitakua zimeshatoka ni habari za uhakika
 
mama yangu mkurugenzi wazara ya afya kaniambia matokeo yatatoka mwez huu ila majina yamepelekwa wizarani week hii, so nw wanachagua.jiandaeni kuyapokea wandugu.
 
mama yangu mkurugenzi wazara ya afya kaniambia matokeo yatatoka mwez huu ila majina yamepelekwa wizarani week hii, so nw wanachagua.jiandaeni kuyapokea wandugu.

matokeo gani mkuu, kwani watu wamefanya mtihani,.
 
duh!! kweli hii ndo Tanzania tunayoitaka.
 
mama yangu mkurugenzi wazara ya afya kaniambia matokeo yatatoka mwez huu ila majina yamepelekwa wizarani week hii, so nw wanachagua.jiandaeni kuyapokea wandugu.
ni majina ya ajira ama ni ya nini? nisaidieni hapa!
 
jaman mm nimesoma math lakini sijasoma phys na nimefulu chem , bio,na math je wizala itanifikilia au haiwezekaniki kusoma afya hata privet
 
Nenda a-level kasome kombi mpya "cbm" kama una credit.
Ukipiga vizuri unaenda digrii moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom