Weka uthibitishoUmoja wa kampuni za uchapishaji walioingia mkataba kwa ajili ya kuzalisha bidhaa na vipeperushi vya CCM wakati wa kampeni mwaka 2020, wamemuomba Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mhe. @SuluhuSamia kuingilia kati suala la madai yao ili walipwe.
Kwa pamoja wanadai zaidi ya bilioni 1
Uthibitisho wa nn vipeperushi au.Weka uthibitisho
Unakuja mwana chukua chako mapemaWeka uthibitisho
Hayo ndiyo matokeo ya tenda za ujanjaujanja. Hiyo tenda walipewa na kuongeza bei ili kugawana. Mama suluhu au kiongozi yeyote hahusiki. Kuna kampuni waliyotiliana nao mkataba. Hiyo kampuni inatakiwa kulipa. Kama hailipi, waipeleke mahakamani. Kama hawana pesa sheria itumike, hiyo ni pamoja na kuifilisi hiyo kampuni, kama wataambuliya chochote kwenye kufilisi, wapate. Watu wa biashara wanajuwa wazi kuwa hizi kampuni za vyama siyo reliable lakini bado wanaskubali kufanya nao biasharas, sasa wanalia nini!Umoja wa kampuni za uchapishaji walioingia mkataba kwa ajili ya kuzalisha bidhaa na vipeperushi vya CCM wakati wa kampeni mwaka 2020, wamemuomba Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mhe. @SuluhuSamia kuingilia kati suala la madai yao ili walipwe.
Kwa pamoja wanadai zaidi ya bilioni 1.
View attachment 2201320
Natumaini safari hii hawataambiwa “Mwanangu kunywa maji” kama alivyoambiwa Shigongo 2015.