Waliochapiwa siku ya Eid vilio vyao vitaanza kusikika wiki ijayo

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Ndiyo! Kuanzia wiki ijayo ndiyo uwongo walioaminishwa nao leo utajulikana na kudhihirika.

Leo wapenzi wao wametoa visababu kedekede vya kuwafanya wawe mbali nao lkn wiki ijayo itajulikana kuwa vilikuwa vya uwongo.

Natanguliza pole kwa waliochapiwa leo siku ya Eid
 
Lakini ww ni dume unayejifanya jike hapa sio πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…