Waliodhani CWT tutafoka foka kwenye media ili haki ipatikane, wanatushangaa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Makamu Wa Rais CWT SULEIMAN IKOMBA Amewataka Walimu Kuwa Mstari Wa Mbele Kwenye Kuijenga na Kuacha kusikiliza Yanayosemwa Nje Ya Chama Hicho

Suleiman Ameyasema Hayo Wakati Wa Kliniki ya Samia Na CWT inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi, Tamisemi na tume ya utumishi wa walimu nchini ili Kusikiliza Kero Na Changamoto Za Walimu Na Ya Mkoa Wa Tanga

Mwewe huyu
 
Back
Top Bottom