Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.