Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao
Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Unaamini kwamba ameongea hayo maneno kwa hiyari yake?Mzee kashachutama
Angedukuliwa asingeomba msamaha
Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana.
Alikuwa anaongea na wagogo.Kwenye hiyo clip si alikuwa anaongea na watu? Watafutwe hao waulizwe ukweli ni upi
Maagizo kutoka juu?Unaamini kwamba ameongea hayo maneno kwa hiyari yake?
Thubutu!!
Mwanaume mzima analilia kama mtotoMzee kashachutama
Angedukuliwa asingeomba msamaha
Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana.
Amelazimishwa ni mnafiki sn huyu mzeeUnaamini kwamba ameongea hayo maneno kwa hiyari yake?
Thubutu!!
Kaminywa korodani na mamaMwanaume mzima analilia kama mtoto
Hili bunge ni dhaifu kupita kiasi, kipi kibaya alichoongea pale kama siyo uoga na unafiki?Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao
Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Bunge dhaifu kabisa kuwahi kutokea, alikuwa na hoja za msingi sema ndiyo hivyo ameogopa kunyang'anywa ubungeKaminywa korodani na mama
Kaminywa kende😀😀Amelazimishwa ni mnafiki sn huyu mzee
Akome mpuuzi snKaminywa kende😀😀
What if aliyedukuwa ndiye anayesema kadukuliwa?Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.
Mzee kashachutama
Angedukuliwa asingeomba msamaha
Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana.
HAJADUKULIWA huo ni UTETEZI Mzee alipania KUMPINGA RAISKama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa kama ng'ombe wasakwe na kukamatwa
Ieleweke wazi kuwa kudukua na kufoji ni kosa la kimtandao. Na walifanya hivi ili kumchonganisha spika na mkuu wa nchi wamefanya kosa.
Wasakwe na kukamatwa ili sheria ifuate mkondo.