PreGE2025 Waliodukua ukurasa wa Polisi X (Twitter), wadukua ukurasa wa CCM, Airtel, Simba SC, TRA, EWURA na zingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vijana kutoka Kenya hao wameshaanza vita ramsi na mama
Kwenye page ya polisi wamepost picha chafu ya ngono....... wenzetu wanakuwa wamoja Sana kwenye maslahi ya nchi Yao tofauti na Sisi wabongo, hii vita ya safari hii itakuwa kubwa Sana mitandaoni hasa Kwa jeshi la polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…