Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
K24 ni noma sana...🤣Taasisi gani hizo zitaje
Police wamechafuliwaNimeangalia tra pako shwari
YouTube account ya Simba SC, Twuwita ya Mtandao mkubwa wa simu na tuwita ya ile taasisi inayo tumua nguvu sana....😜Nakazia
Serekali ikodishe wanaijeria ili kupambana na wakenya.kumekucha sasa, waken.ya wako kazini
hiyo chaneli ni ya kina karua? Kama ni yao watampepelea mtu wao. Tv za kenya zimegawanyika sana zipo mpaka za wapinzaniItakua K24 wanalipiza kisasi cha tamko la namba 1 jana
Kumbe ni shida kuvuruga mahusiano na jiraniKatika tukio la kushangaza na kusikitisha, kurasa mbalimbali maarufu mtandaoni zimelengwa na wadukuzi wasiojulikana walioteka akaunti rasmi ya Polisi Tanzania kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), ukurasa wa Airtel Tanzania kwenye X, akaunti ya YouTube ya klabu ya Simba SC, ukurasa wa X wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Mamlaka ya Mapato Tanzania (YouTube), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA).
Katika hujuma hizo, taarifa ya uongo kuhusu kifo cha Rais Samia, imesambazwa na wahalifu hao wa kimtandao.
Jeshi la Polisi wamsaka aliyesambaza taarifa za upotoshaji katika ukurasa wao wa X (Twitter)
Pia, Soma
Ni rahisi Sana kudukua mitandao ya mawasiliano ya kidijiti nchini Tanzania.Leo taasisi mbali mbali kubwa zimehakiwa na kuchapisha taarifa mbaya kwenye mitandao ya kijamii yenye kuleta taharuki sana
Sijajua ni sababu za kisiasa au nn maana taarifa inahusu mambo ya kisiasa
Ningetuma picha ila bado taifa linantegemea nisije nikapotezwa
Ukurasa wa CCM 😂😂😂🤣Katika tukio la kushangaza na kusikitisha, kurasa mbalimbali maarufu mtandaoni zimelengwa na wadukuzi wasiojulikana walioteka akaunti rasmi ya Polisi Tanzania kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), ukurasa wa Airtel Tanzania kwenye X, akaunti ya YouTube ya klabu ya Simba SC, ukurasa wa X wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Mamlaka ya Mapato Tanzania (YouTube), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA).
Katika hujuma hizo, taarifa ya uongo kuhusu kifo cha Rais Samia, imesambazwa na wahalifu hao wa kimtandao.
Jeshi la Polisi wamsaka aliyesambaza taarifa za upotoshaji katika ukurasa wao wa X (Twitter)
Pia, Soma
Kwamba wanamtafuta aliesema wamedukuliwa ahahahhahah 🤣 🤣 🤣Hapa ndipo nawashangaa Polisi wa Tanzania kumsaka aliyewaamsha kuwa wameingiliwa
Acha , wanadownload security softwares kwa matumizi ya kitaifaa??🫣🫣🫣Nishawahi fanya kazi na cyber security unit ya Zanzibar, angalau wapo vizuri ila Hawa Watanzania wanaotumia software za kudownload sishangai
Weka linkHuko Simba u tube wameongeza vyuwazi
Simba?YouTube account ya Simba SC, Twuwita ya Mtandao mkubwa wa simu na tuwita ya ile taasisi inayo tumua nguvu sana....😜
Niitolee wapi kaka mkubwa..Weka link