Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Kaka usiongeze chumvi, hiyo si the largest attack, a largest attack ikitokea watawala watakimbia nchiInabidi tukubali kama nchi tumevuliwa nguo.
Wakati wenzetu wanainvest kwenye kutengeneza technocrats sis tumejaza watu wasio na weledi na sifa kwenye mifumo na taasisi za umma.
Kwa kinachoendelea saa hii kwenye socio-media, inawezekana ikawa ndo the largest cybersecurity attack kuwahi kutokea Tanzania.