PreGE2025 Waliodukua ukurasa wa Polisi X (Twitter), wadukua ukurasa wa CCM, Airtel, Simba SC, TRA, EWURA na zingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wacha yote hayo sisi tuakuja kuhanza kuchimbuwa mafuta wakati kila kitu kinaendea umeme, Na yote ni hizi NGO zinazowaburuza waafrica tutegemee mabunge ya wazungu.
Ss tumeshindwa had wakenya wameanza kutusaidia..ni huzuni
 
Inabidi tukubali kama nchi tumevuliwa nguo.

Wakati wenzetu wanainvest kwenye kutengeneza technocrats sisi tumejaza watu wasio na weledi na sifa kwenye mifumo na taasisi za umma.

Kwa kinachoendelea saa hii kwenye socio-media, inawezekana ikawa ndo the largest cybersecurity attack kuwahi kutokea Tanzania.
Kuna nini huko Dalesalama?
 
Saa hii siyo!!..tuliza tundu la haja kubwa mkenya,angalieni mtaweza vipi kupata nafuu ya chakula huko kwenu
 
Back
Top Bottom