Ingia twitterBro najitahidi kufatilia lakini sijaelewa mpaka sasa unaweza kunipa muongozo kidogo kufahamu kinachoendelea then nifatilie mwenyewe
Ingia twitterBro najitahidi kufatilia lakini sijaelewa mpaka sasa unaweza kunipa muongozo kidogo kufahamu kinachoendelea then nifatilie mwenyewe
Kusema kweli acha leo watusaidie kuchangamsha nchi tuu hamna namna😂😂😂Saa hii siyo!!..tuliza tundu la haja kubwa mkenya,angalieni mtaweza vipi kupata nafuu ya chakula huko kwenu
Tulia ww chawa...Umepanic..Saa hii siyo!!..tuliza tundu la haja kubwa mkenya,angalieni mtaweza vipi kupata nafuu ya chakula huko kwenu
ASAPIngia twitter
Mfumo au akaunti?Yan had mfumo wa taasis kubwa kama TRA unadukuliwa hatupo salama.
Ni hatari,Kwani natania??hukuona makao makuu ya polisi email address wanatumia gmail?? Sio kwamba wajuzi hawapo ila nafasi wanapewa kwa kujuana,utakuta mkuu wa kitengo ana masters ya computer science na physics kasoma marekani ila kukiwa na tatizo la network wanatafuta wahuni wa mtaani,..wanachofikiri serikali IT ni vyeti,..waige wenzetu wanavyotoa ajira..
Raisi wetu wa chaputa naona Ume rudi😂😆kumekucha sasa, waken.ya wako kazini
Ni suala la muda..kaa kwa kutuliaMfumo au akaunti?
Sijui..nielewesheWewe unajua maana ya cyber attack..?
Jibu,ni mfumo au akaunti ya social media?Ni suala la muda..kaa kwa kutulia
Mbona Kenya rahisi sana wala hawakamatwi wa nini, njaa kali ya Kenya kitu kidogo unawapa wanakufanyia kazi yako perfect.Hawapo TANZANIA utamkamata Nani? Nendeni Kenya mkawakate
Perplexity told me 👉 technocrats are skilled professionals governing or advising based on technical knowledge, aiming to improve government effectiveness through expertise-driven decisions.Inabidi tukubali kama nchi tumevuliwa nguo.
Wakati wenzetu wanainvest kwenye kutengeneza technocrats sisi tumejaza watu wasio na weledi na sifa kwenye mifumo na taasisi za umma.
Kwa kinachoendelea saa hii kwenye socio-media, inawezekana ikawa ndo the largest cybersecurity attack kuwahi kutokea Tanzania.
Nakutania mkuu 😂😂😂🙌🙌🙌🙌Sijui..nieleweshe
kwani TCRA wanasemaje?Inabidi tukubali kama nchi tumevuliwa nguo.
Wakati wenzetu wanainvest kwenye kutengeneza technocrats sisi tumejaza watu wasio na weledi na sifa kwenye mifumo na taasisi za umma.
Kwa kinachoendelea saa hii kwenye socio-media, inawezekana ikawa ndo the largest cybersecurity attack kuwahi kutokea Tanzania.
Kwani mzee iki tokea ume Jamba nyumbani huwa una kubali?, si una singizia madogo!Mbona polisi wamekataa na wamedai wanamsaka anae sambaza taarifa za upotoshaji huo?
Social media haina mfumo..?Jibu,ni mfumo au akaunti ya social media?
Download VPN soon mambo ya TCRA watazima sababu ya kucontrol database ya nchikwani TCRA wanasemaje?
au ndo kama kawaida yao, wapo kimya kama hayawahusu!
Ukiwa na sanduku la posta basi unakua na mfumo wa masanduku ya posta?Social media haina mfumo..?