PreGE2025 Waliodukua ukurasa wa Polisi X (Twitter), wadukua ukurasa wa CCM, Airtel, Simba SC, TRA, EWURA na zingine

PreGE2025 Waliodukua ukurasa wa Polisi X (Twitter), wadukua ukurasa wa CCM, Airtel, Simba SC, TRA, EWURA na zingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
TRA wakiri kudakuliwa
20250520_134403.jpg
 
Katika tukio la kushangaza na kusikitisha, kurasa mbalimbali maarufu mtandaoni zimelengwa na wadukuzi wasiojulikana walioteka akaunti rasmi ya Polisi Tanzania kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), ukurasa wa Airtel Tanzania kwenye X, akaunti ya YouTube ya klabu ya Simba SC, ukurasa wa X wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Mamlaka ya Mapato Tanzania (YouTube), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) pamona na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) zote YouTube.

Katika hujuma hizo, taarifa ya uongo kuhusu kifo cha Rais Samia, imesambazwa na wahalifu hao wa kimtandao.

Jeshi la Polisi wamsaka aliyesambaza taarifa za upotoshaji katika ukurasa wao wa X (Twitter)

Pia, Soma
Wanasemaje kihusu ukurasa wa Lissu, aliandika yeye? Yeye amekiri akanti ni yake na jina ni lake isipokuwa kilichoandikwa, haya tuendelee kuanzia hapo.
 
1_20250520_134735_0000.png


💭 Katika matukio ya kushangaza yanayoendelea nchini Tanzania kuhusu Usalama wa mitandaoni unazidi kuwa hatarini baada ya Kampuni ya mawasiliano nchini Tanzania Airtel kudukuliwa.

💭 Mitandao ya kijamii ya Airtel Tanzania kuanzia YouTube na mtandao wa X umedukuliwa na watu wasiojulikana na kusambaza taarifa za uongo kuhusu Airtel nchini Tanzania.

images (23).jpeg


⚡ Airtel waliweza kutoa taarifa hiyo kupitia akaunti ya Instagram wakisema ;👇

" Airtel Tanzania inapenda kuutaarifu umma kuwa akaunti za mitandao ya kijamii za Airtel Tanzania za Twitter maarufu X na You Tube zimedukuliwa na watu wasiojulikana na kusambaza machapisho ya taarifa za upotoshaji hivyo zinapaswa kupuuzwa."

💭 Airtel imeamua kuchukua Hatua za awali kwa kuzifunga. Akaunti zao za mitandao ya kijamii ili kuepusha usambazaji zaidi wa taarifa hizo za Uongo zenye lengo la kuipotosha Jamii na kuleta Taharuki.

💭 Aidha uongozi wa Airtel Tanzania umetoa taarifa kwa mamlaka husika ili kuchunguza kwa ukaribu chanzo cha machapisho hayo na kuwachukulia hatua za kisheria waliohusika.

💭 Airtel imesema inawaomba wateja wao waendele kuwafuatilia kupitia mitandao ya kijamii ya Instagram, Facebook na LinkedIn pekee.
 
Hahahah!! Hii ndio KENYA na IT wako KENYA. Na unakuta hao wanao pambania irudi ni wakenya 100%.
Endeleeni n uchawa TU
Endeleeni n SIMBA na YANGA TU.
Inayo fata ni ya CHURA
KAZI ni kipimo cha utu
 
1. Wanasiasa njaa machawa
2. Wanamuziki wengi
3. Waigizaji
4. Machawa na wapambe
5. Watangazaji wengine nguli

Hawa wameshadukuliwa msiwaone tu wanavaa suruali. Ila tayari hawana marinda wamedukuliwa na ndo wanabaki kuwa royal kwa.wadukuzi wao. Wapo akina Mashambwa, Tilalila, Choiced available, etc. hawa wamedukuliwa na wamo humu nendeni patrick lumu mtapata habari zao. Siyo siri hata kidogo

Wengine mwamba aliwadukua wakawa retired katika chama naye.ila wakubwa wanasema kudukua kunawapa nguvu ya kishetani na mafanikio ndo maana wanakuwa na nguvu na ufuasi mkubwa.
 
Back
Top Bottom