PreGE2025 Waliodukua ukurasa wa Polisi X (Twitter), wadukua ukurasa wa CCM, Airtel, Simba SC, TRA, EWURA na zingine

PreGE2025 Waliodukua ukurasa wa Polisi X (Twitter), wadukua ukurasa wa CCM, Airtel, Simba SC, TRA, EWURA na zingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hali ilivyo huko ujinini😂
1000127436.jpg
 
Jeshi letu sijui kama wataweza kumkamata huyo hacker. Wao wakae kimya tu wawatafute wataalam humu humu uraiani wamallize tatizo na wao wendelee na virungu tu
 
Washauri wa Rais ni

Steve nyerere, mwijaku, Maulid kitenge,Zembwela... Lukas mwashamba 😂😂 aibu kabisa
Kwani zilizodukuliwa si ni accojnt za twitter??? Means twitter ndio imedukiliwa... kusema nchi imedukuliwa ingekuwa imedukuliwa eGA, Tansis nk

Watanzania ni kwa kuwa hatuipendi nchi yetu kwa sasa, yaani ni kama kesho Lissu awe Rais halafu wanaCCM by then wafurahie vitu vya hovyo bila reasoning.

Ni sawa na wewe email yako ukiwa unatumia google ikidukuliwa halafu tukulaumu wewe... kuna mifumo ikidukuliwa ndio utasema nchi imedukuliwa... lakini pia kwenye ulimwengu wa IT kudukuana ni mambo yanayotonea sana... sio mageni hata USA huwa inadhani Russia ilidukua taarifa zake nyingi kwenye election ya 2016
 
Sasa kudukuwa account ya jeshi la polisi la Nchi ni jambo jepesi?, sio nchi kudukuliwa?. Kwamba wadukuzi hawawezi kupata taarifa za mhimu za Nchi kupitia hiii Akaunt ya Polisi?. Kiwango chako cha elimu ni kipi mkuu?. Unadhani walishindwa kwenda kudukua akaunti binafsi ya mkuu wa jeshi la polisi?. Tafakari labda ulikuwa usingizini...... Akaunti yoyote ya tasisi ya umma ikidukuliwa ni Taifa limedukuliwa...
 
Sasa kudukuwa account ya jeshi la polisi la Nchi ni jambo jepesi?, sio nchi kudukuliwa?. Kwamba wadukuzi hawawezi kupata taarifa za mhimu za Nchi kupitia hiii Akaunt ya Polisi?. Kiwango chako cha elimu ni kipi mkuu?. Unadhani walishindwa kwenda kudukua akaunti binafsi ya mkuu wa jeshi la polisi?. Tafakari labda ulikuwa usingizini...... Akaunti yoyote ya tasisi ya umma ikidukuliwa ni
Ngoja tuassume sijasoma kabisa. Ili maisha yaendelee; lakini ujue

Zinadukuliwa pages za NASA,FBI na mabenki makubwa duniani itakuwa pages za Tanzania?
Na wanalazimishwa kutoa ransom na wanatoa
Anayeshangaa atakuwa hajui lolote kuhusu hackers. Cc Tui
 
Back
Top Bottom