PreGE2025 Waliodukua ukurasa wa Polisi X (Twitter), wadukua ukurasa wa CCM, Airtel, Simba SC, TRA, EWURA na zingine

PreGE2025 Waliodukua ukurasa wa Polisi X (Twitter), wadukua ukurasa wa CCM, Airtel, Simba SC, TRA, EWURA na zingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Leo taasisi mbali mbali kubwa zimehakiwa na kuchapisha taarifa mbaya kwenye mitandao ya kijamii yenye kuleta taharuki sana
Sijajua ni sababu za kisiasa au nn maana taarifa inahusu mambo ya kisiasa

Ningetuma picha ila bado taifa linantegemea nisije nikapotezwa
Acha woga
 
Unakuwa mjuaji tu; watu wanahack mifumo ya Bank??? Refer issue ya yule mnigeria... juzi kuna discussion kuhusu war strategies imevuja kwenye group la wasap la top leaders akiwemo VP... shida ni kiwa siai bado ni wajuaji na washamba.... twitter mara ngapi inaenda down tena chini ya Elon musk ikiwa hacked??? Narudia tena kuna mifumo ikiwa hacked inaleta stress lakini sio hii... by the way lazima hii culture tuachane nayo, culture ya kuamini tu watu hawawezi na tatizo likitokea solution iwe kufukuzana tu....it doesnt make sense
Acha kuuwa Mende na Nyundo utaalibu nguvuzo bure!
 
Katika tukio la kushangaza na kusikitisha, kurasa mbalimbali maarufu mtandaoni zimelengwa na wadukuzi wasiojulikana walioteka akaunti rasmi ya Polisi Tanzania kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), ukurasa wa Airtel Tanzania kwenye X, akaunti ya YouTube ya klabu ya Simba SC, ukurasa wa X wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Mamlaka ya Mapato Tanzania (YouTube), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) pamona na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) zote YouTube.

Katika hujuma hizo, taarifa ya uongo kuhusu kifo cha Rais Samia, imesambazwa na wahalifu hao wa kimtandao.

Jeshi la Polisi wamsaka aliyesambaza taarifa za upotoshaji katika ukurasa wao wa X (Twitter)

Pia, Soma
Watusaidie kudukua mfumo wa NEC
 
Nilidhani kuna vijana wa IT pale costech kwenye icubator kama vipi tuongeze bajeti ya ICT leaening and research kuliko jaya maford ranger ya dfp
 
Hilo sio la ajabu hata kiduku hudukua usa marakibao kwasasa kuzuia teknoloji inahitaji umahili kweli kweli
 
Back
Top Bottom