Tumwambie Pinda aongee na wazee wa Katavikwani hakuna namna ya kuwabaini wakale kibano huko huko waliko?
Tumwambie Pinda aongee na wazee wa Katavikwani hakuna namna ya kuwabaini wakale kibano huko huko waliko?
Sasa Simba tumewakosea nini! Afadhali ingekuwa yanga ilianzishwa na TanuKatika tukio la kushangaza na kusikitisha, kurasa mbalimbali maarufu mtandaoni zimelengwa na wadukuzi wasiojulikana walioteka akaunti rasmi ya Polisi Tanzania kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), ukurasa wa Airtel Tanzania kwenye X, akaunti ya YouTube ya klabu ya Simba SC, ukurasa wa X wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Mamlaka ya Mapato Tanzania (YouTube), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) pamona na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) zote YouTube.
Katika hujuma hizo, taarifa ya uongo kuhusu kifo cha Rais Samia, imesambazwa na wahalifu hao wa kimtandao.
Jeshi la Polisi wamsaka aliyesambaza taarifa za upotoshaji katika ukurasa wao wa X (Twitter)
Pia, Soma
Sehemu ganiNimedukuliwa
Lina intelijinsia dhidi ya CDM TuJeshi gani Mpaka leo mmeshindwa kumjua kigogo
Nafikiri walikuwa wanaangalia page zenye idadi kubwa ya watu ili habari isambae vizuri.Sasa Simba tumewakosea nini! Afadhali ingekuwa yanga ilianzishwa na Tanu
Kuna jamaa mmoja ni mhasibu mkuu wa Halmashauri amemfanyia mpango mtoto wa dada yake naye kaingia kama junior accountant Halmashauri nyingine mbali na yeye.Nionyeshe hayo matako yake na mimi niyaone
Kwamba rais hajijui kama yu hai?Wanataka kuvuruga saikolojia ya rais wetu
Midomo mingi mibaya inamuelekea yeyeKwamba rais hajijui kama yu hai?
Sina neno mkuu, ila nakazia kwenye kudukia hazina, watu tupate maokoto. Wee unaonajee?mm wala sijaona cha maana kilichodukuliwa hapa, wangedukua hazina wakasomba hela yote tukabaki na sufri ningewapigia salute.
kudukua social networks ndo nn sasa, au unasemaje bibie cocastic
Jamaa leo wametutusi sana aiseeHamna kazi watafanya hilo ni tusi wameamua kuwatukana kuwa serikali yenu ni dhaifu hata kwenye mifumo ya kawaida kabisa. Poor country😀
Katika tukio la kushangaza na kusikitisha, kurasa mbalimbali maarufu mtandaoni zimelengwa na wadukuzi wasiojulikana walioteka akaunti rasmi ya Polisi Tanzania kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), ukurasa wa Airtel Tanzania kwenye X, akaunti ya YouTube ya klabu ya Simba SC, ukurasa wa X wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Mamlaka ya Mapato Tanzania (YouTube), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) pamona na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) zote YouTube.
Katika hujuma hizo, taarifa ya uongo kuhusu kifo cha Rais Samia, imesambazwa na wahalifu hao wa kimtandao.
Jeshi la Polisi wamsaka aliyesambaza taarifa za upotoshaji katika ukurasa wao wa X (Twitter)
Pia, Soma
sawia kabisa, et mdukuzi unadukua twita, utubu? ndo manini sasa hayo?Sina neno mkuu, ila nakazia kwenye kudukia hazina, watu tupate maokoto. Wee unaonajee?