PreGE2025 Waliodukua ukurasa wa Polisi X (Twitter), wadukua ukurasa wa CCM, Airtel, Simba SC, TRA, EWURA na zingine

PreGE2025 Waliodukua ukurasa wa Polisi X (Twitter), wadukua ukurasa wa CCM, Airtel, Simba SC, TRA, EWURA na zingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
mm wala sijaona cha maana kilichodukuliwa hapa, wangedukua hazina wakasomba hela yote tukabaki na sufri ningewapigia salute.

kudukua social networks ndo nn sasa, au unasemaje bibie cocastic
 
fursa za ajira hizo vijana changamkeni. hiyo inaonyesha nguvu zetu tunawekeza wapi, akili au kuvunja matofali kwa fuvu.
 
Alafu kuna pipo zinajazana ujinga kisa zimesoma cyber UDOM.. kuna mambo yanahitaji uwe smart zaidi ya GPA
Kusoma cyber udom hakumaanish udom pekee ndio itaweza kuzuia tatizo hilo
Cyber security ni wigo mpana sana, it takes joint efforts kuja na formidable way ya kulinda mifumo.

Us wana mfumo mzuri, kila taasis, kila department ina cyber division, lakinwamepigwa vizuri na china majuzi, norht korea na wengine
Us wakishaoigwa hivyo hijufunza na kuziba mianya

Hapa tz ile hali ya kuchukula kazi ni work as usual, watu hwajiongez kujua latest threats duniani.
Once nilikuwa pen tester, nilikuwa router ya taasisi almost tatu kubwa , zina default passwords, hakuna mtu anahangaika na wapo tu
 
1747747007843.jpeg
 
Hao
Katika tukio la kushangaza na kusikitisha, kurasa mbalimbali maarufu mtandaoni zimelengwa na wadukuzi wasiojulikana walioteka akaunti rasmi ya Polisi Tanzania kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), ukurasa wa Airtel Tanzania kwenye X, akaunti ya YouTube ya klabu ya Simba SC, ukurasa wa X wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Mamlaka ya Mapato Tanzania (YouTube), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) pamona na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) zote YouTube.

Katika hujuma hizo, taarifa ya uongo kuhusu kifo cha Rais Samia, imesambazwa na wahalifu hao wa kimtandao.

Jeshi la Polisi wamsaka aliyesambaza taarifa za upotoshaji katika ukurasa wao wa X (Twitter)

Pia, Soma
Hao ni hatari
 
Kusoma cyber udom hakumaanish udom pekee ndio itaweza kuzuia tatizo hilo
Cyber security ni wigo mpana sana, it takes joint efforts kuja na formidable way ya kulinda mifumo.

Us wana mfumo mzuri, kila taasis, kila department ina cyber division, lakinwamepigwa vizuri na china majuzi, norht korea na wengine
Us wakishaoigwa hivyo hijufunza na kuziba mianya

Hapa tz ile hali ya kuchukula kazi ni work as usual, watu hwajiongez kujua latest threats duniani.
Once nilikuwa pen tester, nilikuwa router ya taasisi almost tatu kubwa , zina default passwords, hakuna mtu anahangaika na wapo tu
Confidentiality
Cyber Stalking..,...
 
Back
Top Bottom