Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Nchi iko salama
Pongezi ziende kwa mama kwa kutufikisha hapa.
Mitano tena kwake....😜
Bas tuseme mifumo haijadukuliwa kila kitu kipo shwari..mitano tenaUkiwa na sanduku la posta basi unakua na mfumo wa masanduku ya posta?
kweli hatuko salamaDaaah kweli mkuu an mpaka inatokea daah ni wapo very weak maana hyo process mpaka mtu ana dukua mfumo daaah
UtabiriKatika hujuma hizo, taarifa ya uongo kuhusu kifo cha Rais Samia, imesambazwa na wahalifu hao wa kimtandao.
huwajui hackers wa kenya wewe kijana, hadi wanigeria wanawaheshimu wakenya kwenye cyber attacks, do some reseachesHao ndio huwa ni vivuruge sasa
Akaunti social media ni kama sanduku la postaMa IT wana kazi huko wizarani leo dadek ni mwendo wa back door to back door
champions leagueHhha ligi ya mabingwa
Kenya tuna assets kibao,wachome tu pc zaoHawapo TANZANIA utamkamata Nani? Nendeni Kenya mkawakate
Jifunze kiswahiliKama Kigogo ametushindwa kwa miaka yote basi hakuna tunaloliweza..
Tusikitike kwa kweli maana 🙄 tunakoelekea ni hatariTufurahi au tusikitike??
Hamna kazi kabisa pale ..Akaunti social media ni kama sanduku la posta