Waliofahamika kupitia migongo ya mastaa..

Waliofahamika kupitia migongo ya mastaa..

Kweli wewe unamjua, ivi hyo Manhattan ni guest au nn? Huyo noel ndale ni kijana mzuri ila ana share mwanaume na Rio Paul kile kibabu cha kizungu anaitwa britex Sijui, na huyo Martin na mwenzie ommy dimpoz wanagongwa na frank gonga na mume wa lady jaydee kashamgonga sana Kadinda, juzi alifanyiwa party na gays wenzie pale nyumbani lounge, wewe nae umapoteleag wapi mama mkubwa?[/QUOTE

Nipo Mkuu nakula ujana, sasa mbona Frank Gonga nayeye zamani ilikuwa inasemekana analiwa na MATAKA? Au ndio mambo ya two in One?

Nilisikiaga hyo , ila sifa ya kugonga wenzie ndio inasemwa Sana kuliko yeye kugeuzwa
 
Kweli wewe unamjua, ivi hyo Manhattan ni guest au nn? Huyo noel ndale ni kijana mzuri ila ana share mwanaume na Rio Paul kile kibabu cha kizungu anaitwa britex Sijui, na huyo Martin na mwenzie ommy dimpoz wanagongwa na frank gonga na mume wa lady jaydee kashamgonga sana Kadinda, juzi alifanyiwa party na gays wenzie pale nyumbani lounge, wewe nae umapoteleag wapi mama mkubwa?[/QUOTE

Nipo Mkuu nakula ujana, sasa mbona Frank Gonga nayeye zamani ilikuwa inasemekana analiwa na MATAKA? Au ndio mambo ya two in One?

Nimesikia kuna mastaa wakiume wameona(majina kapuni) uko uingereza na wana uraia wa nchi mbili uingereza na Tanzania, yaan ni officially husband n wife, sema hii haijathibitishwa inasemekana, so soon nita confirm hii, nimewaficha majina kwa kuwa haijathibitishwa
 
±

±
Du hatareeeeee unataka kuniambia shigongo hazijui hizi habari? Ndio kwanza nasikia kwako kama Ney,Sam na Dimpoz wanapumuliwa kisogoni.

Nasikia wana support kubwa, na mwaka jana Christmas kama sikosei kulikuwa na ugeni mzito wa magays nchi mbali mbali walikutana apa dar kwenye hotel moja ya kifahar sana apa jijini dar(jina kapuni) wanapewa support na serikali maana na baadh ya member of parliament wapo sana
 
Last edited by a moderator:
Kajala kawa Maarufu kitambo na sana sana baada ya kuishi na kuzaa na P Funk hayo ya Wema ya juzijuzi tu mtoto tangu enzi za Oysterbay line police na Mbuyuni Primary school alikuwa hajatulia huyo.
umaarufu wa kajala ulianzia katika show za taji liundi asset club kinondoni ambapo katika fashion show alikuwa anachojoa nguo zote anabaki na chupi...
 
Duh!! Huku siyo, ngoja niangalie mkanda wangu kama umekaza sawasawa na mimi nisije nikawa maarufu buree.
 
1. Petit man wakuache
Huyu jamaa amefahamika kupitia Wema Sepetu, jina lake limevuma na kutajwa tajwa sana baada ya kuwa karibu na madame. Sio muigizaji wala mwanamuziki.

2. Romy Jones
Huyu jamaa ni ndugu wa Diamond. Amefahamika sana baada ya kuwa karibu na mwanamuziki Huyo, japokuwa ana maringo na nyodo kuzidi Diamond. Na yeye huyu sio mwanamuziki wala mcheza filamu.

3.Penny
Huyu bidada ni mtangazaji wa Dtv. Alikuwa hafahamiki apo awali, Jina lake lilivuma sana na kujikuta akiingia kwenye ulimwengu wa mastaa baada ya kujihusisha kimapenzi na msanii Diamond, ni miongoni mwa watu wanaofuatiliwa sana na kuzungumzwa.

4.Mange kimambi
Huyu alipata umaarufu kupitia mastaa kadhaa wa Tasnia mbali mbali apa bongo, alianza kuzinguana kwenye blogs na msanii wa maigizo Sintah, Ray( kuhusu kifo cha Kanumba), Shigongo na wengine kadhaa, wengi walitaka kumjua ni mtu wa aina gani baada ya kuanzisha bifu na mastaa wa bongo, hatimaye akajikuta akiogelea umaarufu.

5.Chaga Barbie
Huyu alijipatia umaarufu baada ya kujihusisha kimapenzi na msanii wa Kenya Prezzo, jina lake lilivuma zaidi pale walipozinguana na Prezoo hadi kufikia hatua ya kutoleana maneno mbofu mbofu mitandaoni. Ni kati ya watu wanaofuatiliwa sana mitandaoni.

6.Agnes Masogange
Huyu alijipatia bahati ya kufahamika kwa kasi baada ya msanii belle 9 kumtumia kwenye nyimbo yake ya masogange ambayo Agnes alicheza kama Masogange, hadi Leo anafahamika kwa jina la masogange, ni kati ya watu wanaozungumzwa sana mitandaoni. Kesi yake ya madawa ya kulevya ilimuweka kwenye ulimwengu wa mastaa.

7.Najma
Huyu ni ex wa Mr blue, nae alianza kufahamika baada ya kujiingiza kwenye mahusiano na msanii huyo. Scandal yake ya kutoka na Diamond ilimuongezea credit kwa kiasi flan na kumfanya aongelew sana mitandaon, alishawah kujarib mziki pia na filamu.

8.Clement
huyu alifahamika baada ya kujiingiza kwenye mahusiano na super star Wema Sepetu, ni kati ya watu wanaozungumzwa sana mitandaoni hadi kesho, japokuwa sura yake haifahamiki kihivyo, bado watu wanapenda kujua kuhusu yeye na maisha yake.

9.Ostadh Juma
Watu mjini wanatafuta umaarufu kwa kasi, baada ya kuzipata pesa kwa wingi , aliamua Ku manage wasanii kama PNC, dogo Janja na wengine japokuwa hana management skills nzuri. Kumrudisha dogo Janja dar es salaam na kumweka kwenye kundi lake la watanashati entertainment pamoja na kumpiga picha PNC alipokuwa akijaribu kumuomba msamaha kumemfanya aongelewe zaidi na kufuatiliwa maisha yake mbaya zaidi hadi ya wazazi wake kitu ambacho kimem cost kwa kiasi Fulani.

10. Kajala Masanja
Kwenye mtandao wa instagram ana followers karibia elfu thelathini na kitu, wote wametokana na promo ya maana kwa shoga yake Wema Sepetu, kutolewa rumande na Wema Sepetu kumemuongezea umaarufu zaidi na kuwa miongoni mwa watu wanaozungumzwa sana, jina la kajala limekaa sana mdomoni mwa Wema Sepetu, hivyo kumfanya apate mashabiki wengi zaidi kupitia Wema. Ni mcheza filamu za kibongo.

Mkuu mada nzuri...

Ongeza na MAMA DOMO hapa kwenye list hii...
 
Kweli wewe unamjua, ivi hyo Manhattan ni guest au nn? Huyo noel ndale ni kijana mzuri ila ana share mwanaume na Rio Paul kile kibabu cha kizungu anaitwa britex Sijui, na huyo Martin na mwenzie ommy dimpoz wanagongwa na frank gonga na mume wa lady jaydee kashamgonga sana Kadinda, juzi alifanyiwa party na gays wenzie pale nyumbani lounge, wewe nae umapoteleag wapi mama mkubwa?

Mungu wangu, hata Ommy Dimpo? Jamani hamumchafui huyo kijana?
 
Mange alikuwa maarufu toka enzi hizo,hajapata umaarufu kwa mgongo wa mtu.

Inategemea umaarufu kwa nani.

Mimi namjua Kajala tangu alivyokuwa anacheza na kumwaga radhi katika parties za Namanga.

In fact nimejua habari za Kajala kabla sijajua kama kuna mtoto wa Balozi Sepetu anaitwa Wema, probably alikuwa mdogo.

Leo ukiniambia Kajala kajulikana kwa mgongo wa Wema Sepetu, nitasema inaweza kuwa sawa kama umeanza kufuatilia mambo ya mjini juzi, lakini wengine tumemjua Kajala kwa kumwaga kwake radhi wakati huo the famous Sepetu alikuwa Balozi na Wema ndio kwanza harufu ya maziwa haijamtoka mdomoni.
 
We soma tu ujue yanayojir mujini

Wewe jamaa unaboa una copy na ku paste maumbea ya IG na blogs uchwara na washamba wenzio wanakuona mtoto wa mjini kumbe inawezekana hao watu unaojifanya kuwajua unawaona kwenye TV tu. Laiti kama hata hao wanaokufagilia kwamba mtoto wa mjini wangejua ni mbea flani upo Ntimbwilimbwi ila una access ya kusoma blogs za udaku na walls za IG na FB za kuchafuana ndo unaleta humu wasingekupa attention
Get a life Sister
 
Acha majungu na wewe kwani humu JF pekee yeye ndo yupo IG mbona wengine tupo huko na hizi habari hata akizileta huku tunakuwa tushajua sana sana tunaongezea au kucorrect tuyajuayo binafsi kwa wahusika mbona hata Money Stunna anacopy habari za blog na kuzileta huku na tunashea naye friendly au inakuuma unataka uwe wewe kama unaona ushazipata huku unakuja kufanya nn kama si umbea tu.
 
Acha majungu na wewe kwani humu JF pekee yeye ndo yupo IG mbona wengine tupo huko na hizi habari hata akizileta huku tunakuwa tushajua sana sana tunaongezea au kucorrect tuyajuayo binafsi kwa wahusika mbona hata Money K Stunna anacopy habari za blog na kuzileta huku na tunashea naye friendly au inakuuma unataka uwe wewe kama unaona ushazipata huku unakuja kufanya nn kama si umbea tu.
Walewale.com
 
Acha majungu na wewe kwani humu JF pekee yeye ndo yupo IG mbona wengine tupo huko na hizi habari hata akizileta huku tunakuwa tushajua sana sana tunaongezea au kucorrect tuyajuayo binafsi kwa wahusika mbona hata Money Stunna anacopy habari za blog na kuzileta huku na tunashea naye friendly au inakuuma unataka uwe wewe kama unaona ushazipata huku unakuja kufanya nn kama si umbea tu.

Binamu yangu Huyo , akirudi basi huyo jeuri, mjini kuna mambo hadi umbea watu wanagombania? Kweli umbea habari ya mujini
 
Inategemea umaarufu kwa nani.

Mimi namjua Kajala tangu alivyokuwa anacheza na kumwaga radhi katika parties za Namanga.

In fact nimejua habari za Kajala kabla sijajua kama kuna mtoto wa Balozi Sepetu anaitwa Wema, probably alikuwa mdogo.

Leo ukiniambia Kajala kajulikana kwa mgongo wa Wema Sepetu, nitasema inaweza kuwa sawa kama umeanza kufuatilia mambo ya mjini juzi, lakini wengine tumemjua Kajala kwa kumwaga kwake radhi wakati huo the famous Sepetu alikuwa Balozi na Wema ndio kwanza harufu ya maziwa haijamtoka mdomoni.

watoto wa juzi awa...wamekuja mjini stendi ya mabus ubungo
 
watoto wa juzi awa...wamekuja mjini stendi ya mabus ubungo

Hata Icarus kumbakumba hawajui ni dudu gani.

Forget ashikirimu za Kimicho.

And don't even think about chapati kwa mchuzi.
 
Back
Top Bottom