Waliofahamika kupitia migongo ya mastaa..

 
 
±


±
Du hatareeeeee unataka kuniambia shigongo hazijui hizi habari? Ndio kwanza nasikia kwako kama Ney,Sam na Dimpoz wanapumuliwa kisogoni.

Nasikia wana support kubwa, na mwaka jana Christmas kama sikosei kulikuwa na ugeni mzito wa magays nchi mbali mbali walikutana apa dar kwenye hotel moja ya kifahar sana apa jijini dar(jina kapuni) wanapewa support na serikali maana na baadh ya member of parliament wapo sana
 
Last edited by a moderator:
Kajala kawa Maarufu kitambo na sana sana baada ya kuishi na kuzaa na P Funk hayo ya Wema ya juzijuzi tu mtoto tangu enzi za Oysterbay line police na Mbuyuni Primary school alikuwa hajatulia huyo.
umaarufu wa kajala ulianzia katika show za taji liundi asset club kinondoni ambapo katika fashion show alikuwa anachojoa nguo zote anabaki na chupi...
 
Duh!! Huku siyo, ngoja niangalie mkanda wangu kama umekaza sawasawa na mimi nisije nikawa maarufu buree.
 

Mkuu mada nzuri...

Ongeza na MAMA DOMO hapa kwenye list hii...
 

Mungu wangu, hata Ommy Dimpo? Jamani hamumchafui huyo kijana?
 
Mange alikuwa maarufu toka enzi hizo,hajapata umaarufu kwa mgongo wa mtu.

Inategemea umaarufu kwa nani.

Mimi namjua Kajala tangu alivyokuwa anacheza na kumwaga radhi katika parties za Namanga.

In fact nimejua habari za Kajala kabla sijajua kama kuna mtoto wa Balozi Sepetu anaitwa Wema, probably alikuwa mdogo.

Leo ukiniambia Kajala kajulikana kwa mgongo wa Wema Sepetu, nitasema inaweza kuwa sawa kama umeanza kufuatilia mambo ya mjini juzi, lakini wengine tumemjua Kajala kwa kumwaga kwake radhi wakati huo the famous Sepetu alikuwa Balozi na Wema ndio kwanza harufu ya maziwa haijamtoka mdomoni.
 
We soma tu ujue yanayojir mujini

Wewe jamaa unaboa una copy na ku paste maumbea ya IG na blogs uchwara na washamba wenzio wanakuona mtoto wa mjini kumbe inawezekana hao watu unaojifanya kuwajua unawaona kwenye TV tu. Laiti kama hata hao wanaokufagilia kwamba mtoto wa mjini wangejua ni mbea flani upo Ntimbwilimbwi ila una access ya kusoma blogs za udaku na walls za IG na FB za kuchafuana ndo unaleta humu wasingekupa attention
Get a life Sister
 

Acha majungu na wewe kwani humu JF pekee yeye ndo yupo IG mbona wengine tupo huko na hizi habari hata akizileta huku tunakuwa tushajua sana sana tunaongezea au kucorrect tuyajuayo binafsi kwa wahusika mbona hata Money Stunna anacopy habari za blog na kuzileta huku na tunashea naye friendly au inakuuma unataka uwe wewe kama unaona ushazipata huku unakuja kufanya nn kama si umbea tu.
 
Walewale.com
 

Binamu yangu Huyo , akirudi basi huyo jeuri, mjini kuna mambo hadi umbea watu wanagombania? Kweli umbea habari ya mujini
 

watoto wa juzi awa...wamekuja mjini stendi ya mabus ubungo
 
watoto wa juzi awa...wamekuja mjini stendi ya mabus ubungo

Hata Icarus kumbakumba hawajui ni dudu gani.

Forget ashikirimu za Kimicho.

And don't even think about chapati kwa mchuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…