Waliofahamika kupitia migongo ya mastaa..

apart from those stories, the fact is, wema sepetu played a major role in maintaining kajalas name to stay alive.
 
apart from those stories, the fact is, wema sepetu played a major role in maintaining kajalas name to stay alive.

The word "fact" is one of the most overused and underwarranted.

Mimi sijui the intimate details of their relationship, sijui urafiki wao ulianzaje, nani kampa nani ushauri gani etc kuweza ku conclude hivyo.

Inawezekana kwa nje inaonekana hivyo lakini some intimate facts zikawa the reverse.

Another thing, they are both still small timers. Kwa hiyo kama unaongelea kuhusu keeping their names alive, on the world stage Hollywood doesn't know either of them.

They both need to cultivate their inner Lupita Nyong'o and stay off that mkorogo shyt, if it's not too late.
 
apart from those stories, the fact is, wema sepetu played a major role in maintaining kajalas name to stay alive.
Usipoteze mda kubishana na uyo mjuaji kiranga
 
Usipoteze mda kubishana na uyo mjuaji kiranga

Kati yangu mie ninayesema sijui kwamba kati ya Kajala na Wema nani ana keep the others name alive kwa sababu sijui uhusiano wao umeanza vipi, nani kampa nani ushauri gani etc, na Warumi anayesema anawajua hawa kiundani kama wote wawili ni wakeze vile, na Wema ndiye anaye keep Kajala's name alive, nani mjuaji hapo?
 
Usipoteze mda kubishana na uyo mjuaji kiranga

hahahahahahaha SIERA kuna watu wanajua kila kitu...ukiweka hili wana jibu lake, ukiweka lile wana jibu lake...! Sometimes ni kukaa kimya na kuwaachia uwanja wajimwage tu ndo dawa nzuri
 
Last edited by a moderator:
My mommy taught me how to mind my own business;As one wise man once said "haters are confused admirers"

If ur mom taught u to mind ur own business, then what brings you here?, n u know very well this forum is coordinated to gossips?, u could just read n go, but I'm sure u were interested in gossiping what is in here Mr, I'm I mistaken?
 
hahahahahahaha SIERA kuna watu wanajua kila kitu...ukiweka hili wana jibu lake, ukiweka lile wana jibu lake...! Sometimes ni kukaa kimya na kuwaachia uwanja wajimwage tu ndo dawa nzuri
aaaaahaaaaa nakwambia khaaaa wajuaji hatari
 
Last edited by a moderator:
If ur mom taught u to mind ur own business, then what brings you here?, n u know very well this forum is coordinated to gossips?, u could just read n go, but I'm sure u were interested in gossiping what is in here Mr, I'm I mistaken?

This aint gossip forum kid!I am sure you have got my message loud and clear the other day,I am done with you granny
 
watoto wa juzi awa...wamekuja mjini stendi ya mabus ubungo

Inawezekana hata mjini hawajafika wanasoma story kwenye media na wao wanajifanya down town kitambo,fuatilia posts zao wanavyoulizana utajua ni makoro wanataka wakawadanganye wenzao, wanajua watu kupitia story za jf na za huko wanaleta huku
 
This aint gossip forum kid!I am sure you have got my message loud and clear the other day,I am done with you granny

so, are we discussing about political or economic development in here?, may be you are lost sir, you came here to gossip nothing more, u saw the thread tittle yet u decided to open it, besides you are welcome sir.
 
mbona penny na najima mmewasahau kabisa au kajala ndo anae fahamika sana nawana jf minavyojua yule askari sello jina limekuwa zaidi baada yakwenda lupango
 
Eeeee omy ad anapumuliwaa aisee hii mbona kalii ndio maana sijawah sikia demu wakee yeyote
 
Hivi stand ilikua mnazi mmoja au kisutu?
Samahan lakini mimi nimekuja juz dar kwahyo si mwenyeji!
 
Naomba niulize
Kuna watu wamekua wakitumia kauli ya "labda kama umekuja dar juz" bnafsi nashindwa kuelewa kua huko kuja juz na kuja zamani au hata kuzaliwa kabisa dar kunamaanisha nini katika kua na uhakika wa kujua jambo flani linalo husu dar?
Basi kama ingekua kuwepo zamani hapa dsm ndio kujua kila kitu,mambo mengine tuwe tunawauliza akina mzee kingunge,mwinyi na wazee wengine walio kuwepo hapa dar muda mrefu na bado wapo hai kuliko watu wengine,na pia watu wengine wote tuliopo humu jf hatuijui vizuri simply tumezaliwa juzi au tumekuja juz dar...

Unaweza ukawa unaishi dar toka miaka ya 50's na bado ukazidiwa ujanja/ufahamu wa jiji na mtoto wa 1993 so acheni mambo ya kuitana washamba kuhusu dar...na hakuna anaeifahamu/itembea dar yote!
Dsm will remain a strange city to every one in it!
 
Hivi stand ilikua mnazi mmoja au kisutu?
Samahan lakini mimi nimekuja juz dar kwahyo si mwenyeji!

Kulikuwa hamna stand maalum.

Ukiwa unaenda Kilwa unaweza kuanzia safari Temeke, mabasi mengine yalianzia Kisutu, mengine mnazi mmoja etc.

This business of "umekuja Dar juzi" is a colloquial euphimism to denote that one is a "Johnny-come-lately" to city ways, a country bumpkin.

Arguing that one's tenure in Dar is not indicative of better knowledge shows lack of understanding the metaphoric nature of the phrase.

Kuna Wachagga wamekuja juzi mjini wameitoa na kuwaacha Wazaramo waliomchimbia Mjerumani msingi wa Azania Front 1890's huko. Wengine Wahaya wa kuja wamesoma, wanaijua Dar kuliko wajukuu wa Wanyamwezi wa Kinyasini walio Dar via babu zao kuletwa pwani na biashara ya utumwa.

Na hata huyo so called "Baba wa Taifa" alikuwa wakuja Dar kina Sykes wamemfundisha kwamba mtu mzima kuvaa kaptula pwani ni kashfa.

Yet he led the country like some caudillo for over a quarter of a century. And even robbed Dar the distinction of being the de jure capital, though he couldn't rob it the more organic role of de facto capital.

Surely you musn't take a metaphorical shorthand in an overly pedantic manner like a paper out of "Harvard Law Review". Lest you drive us towards a Benghazi/Tripoli like divide on top of the current muungano schism we are facing.

Lile warumi said, if you are looking for politically correct and academically inclined exchanges in a gossip thread, then you are ruining the thread with some highfalutin holier than thou jeremiad yells right out of Ecclesiastes.
 
Last edited by a moderator:

My state of mind is 🙁:what:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…