mi napambna na forex soon nitaanza kutoa motivation things humu jfHili swala ni zuri sana.
ila kuna watu wanajifasha kuwa na ushawishi wa kuhamasisha kujituma ili kupata mafanikio...
mi niko na forex, nikiwa guru nitaweka kila kitu hazarani, mi kuwa na marafiki ndo furaha yanguAliyefanikiwa kweli Hana muda wa kum-motivate mtu kizembe zembe.
Mafanikio yanaambatana na ubinafsi na usiri mkubwa...
ahaaa yani wewe bhanaMimi nilianza biashara kwa mtaji wa nyanya moja.
Niliinunua sh. 10 nikaiuza sh. 20. Nikaenda kununua nyanya mbili, na zenyewe nikaziuza nikapata sh. 40, nikaendelea hivyo Hadi nikanunua trekta la Swaraj
Muogope MunguMimi nilianza biashara kwa mtaji wa nyanya moja.
Niliinunua sh. 10 nikaiuza sh. 20. Nikaenda kununua nyanya mbili, na zenyewe nikaziuza nikapata sh. 40, nikaendelea hivyo Hadi nikanunua trekta la Swaraj
Maprofesa wanajua pesa za kwenye vitabu,kati ya kitu kigumu duniani kilichowashinda hata maprofesa ni namna ya kupta pesa nyingi, yaani uwezo wa kuzinyakua kutoka kwenye mzunguko wake ndo maana mtu mwenye pesa haijalishi kaiba ,kazurumu,kapata kiharari mtu huyo mala nyingi huwa anaheshimikaa sanaa kwenye jamii
nimeona na mimi nitafute pesa
Umetisha mwambaMimi nilianza biashara kwa mtaji wa nyanya moja.
Niliinunua sh. 10 nikaiuza sh. 20. Nikaenda kununua nyanya mbili, na zenyewe nikaziuza nikapata sh. 40, nikaendelea hivyo Hadi nikanunua trekta la Swaraj
ahaaa, nashangaa sana wewe ni profesa wa uchumi tena recture mkubwaa umeshindwa hata kujenda nyumba nzuri bado unapanga tu,Maprofesa wanajua pesa za kwenye vitabu,
Uku mtaani Hali halisi Ni tofauti sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasikia kale kabinti Nana Dolls kalipohojiwa pale waclean fm kakadai kamenunua gari yake ya kwanza kakiwa chuo kwa hela ya boom na mkopoKuna sehemu nilienda nikakuta moja ya mtu ambae danga lake nilikua nafanya nae kazi aliitwa amotivate watu jinsi alivyofika hapo alipo, nikabaki nashngaa πππ maana Mungu hakuachwa na hard working, saving za kutosha, sleepless night kumbe danga lake linafinace huku akitumia dini kama sababu
sir jeff, alisema hivi usiruhusu binadamu yeyote kujua mipango yako, mafanikio yako mfanye binadamu awe anahisia tu sikujua alimanisha nini. pesa zilizopo kwenye mzunguko ni chache kuliko watu so inabidi mgombanie kunyakuwa pesa kwenye mzunguko, sasa wote wakijua jinsi ya kuzipata unafikiri nani atamtumikia mwenzake???Kuna sehemu nilienda nikakuta moja ya mtu ambae danga lake nilikua nafanya nae kazi aliitwa amotivate watu jinsi alivyofika hapo alipo, nikabaki nashngaa πππ maana Mungu hakuachwa na hard working, saving za kutosha, sleepless night kumbe danga lake linafinace huku akitumia dini kama sababu
Umeongea ukweli mtupu. Real wealthy people are low kwey!
'If they write/speak to get money don't read/listen'
Upande wangu naona ni vyema.kukaa kimya kuliko kwenda kuongea sehemu hasa ya dini kuonesha how u are working hard na kuwaacha watu wakijiuliza wanakosea wapi, mbona kila kitu anakifanya hakiendi kumbe unaliwa kimya kimya afu unasema hulali unafnya kazi .sir jeff, alisema hivi usiruhusu binadamu yeyote kujua mipango yako, mafanikio yako mfanye binadamu awe anahisia tu sikujua alimanisha nini. pesa zilizopo kwenye mzunguko ni chache kuliko watu so inabidi mgombanie kunyakuwa pesa kwenye mzunguko, sasa wote wakijua jinsi ya kuzipata unafikiri nani atamtumikia mwenzake???
watu wanazaa kila siku kwa wingi, kuliko pesa inayoongezwa na BOT kwenye mzunguko
nawashauri pendeleeni kusoma all stuffs related to personal finance , economic and finance some time huwa yanasaidia
mi siyo mchumi . naungaunga tu
Afu aliyeiba simu ya huyu mzee Nani..?Mimi nilianza biashara kwa mtaji wa nyanya moja.
Niliinunua sh. 10 nikaiuza sh. 20. Nikaenda kununua nyanya mbili, na zenyewe nikaziuza nikapata sh. 40, nikaendelea hivyo Hadi nikanunua trekta la Swaraj