Waliofanikiwa kwa njia wanazozijua wao wanajiona motivational sana!

Waliofanikiwa kwa njia wanazozijua wao wanajiona motivational sana!

Aliyefanikiwa kweli Hana muda wa kum-motivate mtu kipuuzi namna iyo.

Otherwise Ukitaka kua motivated, atakumotivate juu juu TU kimasihara.
Ila kiuhalisia ukiingia kichwa kichwa lazima. Upoteane.

Ukweli Ni kwamba,
Mafanikio yanaambatana na ubinafsi na usiri mkubwa.
( Aliyefanikiwa kamwe Hataki Chaka lake la kupigia pesa ulijue)
Hii ni kupunguza washindani, wachawi, wanoko, masnitch na wavimba macho.

Ukiona umesaidiwa njia za pesa na mwenye pesa,
Jua na yeye anajua Kuna namna atafaidika na wewe kwa namna moja ama nyingine.
Iwe leo, kesho au kwa baadae.
(HUO NDO UBEPARI WENYEWE, No free lunch)

NB: SIRI YA UTAJIRI NI KUTUNZA SIRI
Ukiwa kilopolopo kamwe hutoiona Ela, na kamwe hutokua tajiri hata sikU Moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
You nailed it bro! Utajiri ni attitude
There's a big difference between being rich and acting rich
 
Upande wangu naona ni vyema.kukaa kimya kuliko kwenda kuongea sehemu hasa ya dini kuonesha how u are working hard na kuwaacha watu wakijiuliza wanakosea wapi, mbona kila kitu anakifanya hakiendi kumbe unaliwa kimya kimya afu unasema hulali unafnya kazi .
Mjini kuna mambo, usione wadada wazuri wanadrive, nyuma ya pazia kuna mengi, wengine hadi wanaliwa tundu la nyuma.

Afu wanajishauwa weee.., kumbe hawana marinda wametifuliwa wakapewa gari la kuuzia sura.
 
Upande wangu naona ni vyema.kukaa kimya kuliko kwenda kuongea sehemu hasa ya dini kuonesha how u are working hard na kuwaacha watu wakijiuliza wanakosea wapi, mbona kila kitu anakifanya hakiendi kumbe unaliwa kimya kimya afu unasema hulali unafnya kazi .
ndio mkuu, yaani ni hatari sanaa binadamu akijua unapoanzia na unapoishia unaweza hatarishaa maishaa yakoo kizembee

wafanye watu wawe wanakuhisi tu, ila wasiwe na uhakika hata asilimia 30, yaani leo unakuwa kama njongoo, keshoo unakuwa mjusi,keshokutwaa nyau,then ndege,then kinyongaa yaani mchanganye binadamu kila sekunde asijue asilimia zote unafanikiwaje??

mwambie ni kumuomba tu mungu, maana ukimwambia hivyo umemalizaa atajua mwenyewe kama huwa anaombaa kwa imani au laaa atajua yeye mwenyewe kwasababu ya watu wengi huwa hawayapendi kuyafuata maagizo ya mungu.
 
Aliyefanikiwa kweli Hana muda wa kum-motivate mtu kipuuzi namna iyo.

Otherwise Ukitaka kua motivated, atakumotivate juu juu TU kimasihara.
Ila kiuhalisia ukiingia kichwa kichwa lazima. Upoteane.

Ukweli Ni kwamba,
Mafanikio yanaambatana na ubinafsi na usiri mkubwa.
( Aliyefanikiwa kamwe Hataki Chaka lake la kupigia pesa ulijue)
Hii ni kupunguza washindani, wachawi, wanoko, masnitch na wavimba macho.

Ukiona umesaidiwa njia za pesa na mwenye pesa,
Jua na yeye anajua Kuna namna atafaidika na wewe kwa namna moja ama nyingine.
Iwe leo, kesho au kwa baadae.
(HUO NDO UBEPARI WENYEWE, No free lunch)

NB: SIRI YA UTAJIRI NI KUTUNZA SIRI
Ukiwa kilopolopo kamwe hutoiona Ela, na kamwe hutokua tajiri hata sikU Moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Big No, no shortage of success, success is not a zero sum game.
 
sir jeff, alisema hivi usiruhusu binadamu yeyote kujua mipango yako, mafanikio yako mfanye binadamu awe anahisia tu sikujua alimanisha nini. pesa zilizopo kwenye mzunguko ni chache kuliko watu so inabidi mgombanie kunyakuwa pesa kwenye mzunguko, sasa wote wakijua jinsi ya kuzipata unafikiri nani atamtumikia mwenzake???

watu wanazaa kila siku kwa wingi, kuliko pesa inayoongezwa na BOT kwenye mzunguko

nawashauri pendeleeni kusoma all stuffs related to personal finance , economic and finance some time huwa yanasaidia

mi siyo mchumi . naungaunga tu
Hii ni scarce mentality, pesa hazijawahi kuwa chache, pesa ni exchange ya service unayotoa.Ukiona pesa chache ujue huduma unayotoa haijitoshelezi

Wachumi wanakwambia, Quantity of money is less or more equal to the value of goods and services.
 
Hili swala ni zuri sana.
ila kuna watu wanajifasha kuwa na ushawishi wa kuhamasisha kujituma ili kupata mafanikio.
mfano wa watu hawa
-forex
-scammer
-makahaba ya grade za juu
-watoto wa wakubwa na matajiri
-waliopata pesa kwa njia za madawa ya kulevya na biashara za ajabu
-ushirikina
-shoo off za mitandao ya kijamii

hapa tanzania watu wengi wanadanganywa na hizi !

mfano mtoto wa mkubwa au tajiri anakwambia kijana usikate tamaa na kuwa mvumilivu .

muulize wewe ulipozaliwa ulikuwa mvumilivu !
Bwana we!

Kibongo bongo asikudanganye mtu, hakuna tajiri yeyote bongo hii aliepata utajiri wake KIHALALI! Ndio maana hakuna tajiri anaeweza kukuambia haswa alifanyajefanyaje mpaka akafika hapo alipo.

Ukisema ufanye biashara kihalali hapa bongo, uuze vitu/bidhaa halali, uweke bei halali, ulipe kodi na tozo zote zinazotakiwa, usiloge nk hutakuja kuwa tajiri maisha yako yote. Au ufanye kazi zako ofisini tu usipokee rushwa, usiibe, usipige dili lolote aisee utakufa masikini.

Kwahiyo mtu asije akakudanganya na motivesheni eti fanya kazi kwa bidii.. huchomoki ndugu huo ndio ukweli.
 
Hii ni scarce mentality, pesa hazijawahi kuwa chache, pesa ni exchange ya service unayotoa.Ukiona pesa chache ujue huduma unayotoa haijitoshelezi

Wachumi wanakwambia, Quantity of money is less or more equal to the value of goods and services.
Mkuu ukifanya kazi kwa (au na) mhindi, quantity of money is always less than value of goods and services
 
mi huwaga watu maarufu nimefollow diamond tu maana huyu anapost ujinga wake tu na show off zake ila huwezi kuta caption sijui tafuteni hela kama chalii mmoja hivi anaitwa dogo janja na jux wanajikutawana pesa balaa daily sijui tafuteni pesa katika caption, ukija hao wa forex ndo usiseme ila tunawaju soko hawaliwezi kutaka kufundisha

nawakubali watu wa betting hawaga shobo na wakiloose ndo wanapost 😁😁😁😁😁
 
Bwana we!

Kibongo bongo asikudanganye mtu, hakuna tajiri yeyote bongo hii aliepata utajiri wake KIHALALI! Ndio maana hakuna tajiri anaeweza kukuambia haswa alifanyajefanyaje mpaka akafika hapo alipo.

Ukisema ufanye biashara kihalali hapa bongo, uuze vitu/bidhaa halali, uweke bei halali, ulipe kodi na tozo zote zinazotakiwa, usiloge nk hutakuja kuwa tajiri maisha yako yote. Au ufanye kazi zako ofisini tu usipokee rushwa, usiibe, usipige dili lolote aisee utakufa masikini.

Kwahiyo mtu asije akakudanganya na motivesheni eti fanya kazi kwa bidii.. huchomoki ndugu huo ndio ukweli.
you nailed it✌️✌️✌️✌️dunia ngumu sana
 
Kuna sehemu nilienda nikakuta moja ya mtu ambae danga lake nilikua nafanya nae kazi aliitwa amotivate watu jinsi alivyofika hapo alipo, nikabaki nashngaa 😂😂😂 maana Mungu hakuachwa na hard working, saving za kutosha, sleepless night kumbe danga lake linafinace huku akitumia dini kama sababu
🤣🤣🤣 Acha tu dunia hii ....

Wajinga hawaishi...
 
Upande wangu naona ni vyema.kukaa kimya kuliko kwenda kuongea sehemu hasa ya dini kuonesha how u are working hard na kuwaacha watu wakijiuliza wanakosea wapi, mbona kila kitu anakifanya hakiendi kumbe unaliwa kimya kimya afu unasema hulali unafnya kazi .
Na huwa wakitumia mgongo wa DINI ndio huwateka wengi huko.....

Wajinga hawaishi....
 
Mafanikio hayaji kimzaha piga kazi piga biashara na pia piga kimya maana kuna wengi wameanguka kwa sababu ya kelele kila kitu wanaweka hadharani bila kujua kuwa unayemwambia anachukuliaje. kuna watu hawataki kujishughulisha lakini wana wivu sana
 
Utajiri una Siri nzito,anayejua ni mmliki...Siri hizo zimefichwa na maneno Kama fanya kazi kwa bidii,acha uvivu,kamatia fursa,kuwa mvumilivu nk...
 
Hii ni scarce mentality, pesa hazijawahi kuwa chache, pesa ni exchange ya service unayotoa.Ukiona pesa chache ujue huduma unayotoa haijitoshelezi

Wachumi wanakwambia, Quantity of money is less or more equal to the value of goods and services.

Hii ni scarce mentality, pesa hazijawahi kuwa chache, pesa ni exchange ya service unayotoa.Ukiona pesa chache ujue huduma unayotoa haijitoshelezi

Wachumi wanakwambia, Quantity of money is less or more equal to the value of goods and services.

safi sanaa mkuu, naona unaideas na hizi mambo, tunapenda utueleimishe, BOT inajua vipi total goods na serives zilizopo ndani ya nchi yao, ili iwaguide pesa to be printed kuwa less, kidogo kulingana na goods(bidhaa) and services(huduma)
kuna biashara zipo kataika kundi la services mfano mama ntilie, na pia kuna biashara ziko katika kundi la kutoa bidhaa, mfano mafuta, duka la takataka, mazao hizo ni goods na wote hao wafanya biashara wanaotoa services ama goods lengo lao ni kupata fedha, wanaamini kuwa wanachokifanya kitawapa pesa

sasa pesa, inatoka wapi?, na inaenda wapi? kufanya nini?. hapa sijui naomba mkuu unisaidie

umesema ukiona hupati fedha nyingi, maana ake huduma unayotoa haijitoshelezi, sasa unawashauri vipi watanzania huduma watoe kwa staili gani wawe kama MOW dewgi?

ila kuna baadhi nimegoogle some stuffs related to money
How do you define money?
Money is an economic unit that functions as a generally recognized medium of exchange for transactional purposes in an economy. ... Money originates in the form of a commodity, having a physical property to be adopted by market participants as a medium of exchange.4 Feb 2021

What is money in simple words?

Money, also sometimes called currency, can be defined as anything that people use to buy goods and services. Money is what many people receive for selling their own things or services. ... money is also called many other names, like currency or cash. It is also a measurement of activity in small business.

What are the 4 types of money?

Economists identify four main types of money – commodity, fiat, fiduciary, and commercial. All are very different but have similar functions.

What is money and its importance?

Money is often defined in terms of the three functions or services that it provides. Money serves as a medium of exchange, as a store of value, and as a unit of account. Medium of exchange. Money's most important function is as a medium of exchange to facilitate transactions.

What is purpose of money?

Money has three primary functions. It is a medium of exchange, a unit of account, and a store of value: Medium of Exchange: When money is used to intermediate the exchange of goods and services, it is performing a function as a medium of exchange.

What are the 3 functions of money?

To summarize, money has taken many forms through the ages, but money consistently has three functions: store of value, unit of account, and medium of exchange.
Why do we need money in our life?

Image result
The reason money is so important is that it provides options for you to live a better life that you choose and puts you in control. Having money and being comfortable with finances also gives you freedom and options to decide how you want to live and support the things you care most about in your life.

What if there was no money?

If there was no money people wouldn't really want to work anymore. They would rather spend time with their friends and family. The reason why many people will stop working is also because they won't really see a reward at the end of the day. And if everyone stopped working, think about what would happen to the world!

Why is money essential for human life?

Beyond the basic needs, money helps us achieve our life's goals and supports — the things we care about most deeply — family, education, health care, charity, adventure and fun. ... Money can give us the power to make a difference in the lives of others, but not the desire to do so.17 Jan 2010

What are the 2 types of money?

Image result
There are two types of money: commodity money, which is an item used as money, but which also has value from its use as something other than money; and fiat money, which has no intrinsic value, but is declared by a government to be the legal tender of a country.

Can we live without money?

People that choose to live without money, heavily rely upon the bartering system in exchange for their everyday needs. This includes food, supplies, modes of transportation, and many other things. This is also one way of ensuring that nothing is wasted and people can afford what they need.

How is money work?

Currency makes up just a small amount of the overall money supply, much of which exists as credit money or electronic entries in financial ledgers. While early currency derived its value from the content of precious metal inside of it, today's fiat money is backed entirely by social agreement and faith in the issuer.

How is money created?

What is the alternative to using money?
Mutual credit is a form of alternative currency, and thus any form of lending that does not go through the banking system can be considered a form of alternative currency. Barters are another type of alternative currency.

What is the nature of money?
The nature of money results from the economic activity of individuals, acting as to satisfy their needs most thoroughly. Money is a commodity demanded for its relatively higher saleability compared to other commodities, and which thus circulates in the economy as a medium of exchange.

Where does money come from?
Most of the money in our economy is created by banks, in the form of bank deposits – the numbers that appear in your account. Banks create new money whenever they make loans. 97% of the money in the economy today exists as bank deposits, whilst just 3% is physical cash.

Where do banks get their money from?

Banks must pay interest on the funds that they collect from savers, which is one of their main funding costs. On the other hand, banks receive interest from loans that they make to borrowers and this is a large part of their revenue. From the perspective of a bank: funding costs are the interest rates paid to savers.

The Money Creation Process
FIRST, banks create money when doing their normal business of accepting deposits and making loans. When banks make loans they create money. remember from chapter 12 that money (M1) is currency (coins and bills) AND checkable deposits.
 
Money, also sometimes called currency, can be defined as anything that people use to buy goods and services. Money is what many people receive for selling their own things or services. ... money is also called many other names, like currency or cash. It is also a measurement of activity in small business.

sasa wanakuambia currencies supplied is less or equal to total goods and services that will be bought by curriencies supplied

naomba kujua BOT wanatumia calculator gani ambayo inawapa jumla ya huduma na goods zilizopo kwenye jamii ? mi naona huwezi huwezi kujua zote servces nchini mwako kila siku mama ntilie wanaongezekaa mtaani na hawalipi kodi sasa utajuaje sasa services zotes? ndo maana nikasema kazi ya pesa ni kununua huduma au bidhaaa, ila sidhani kama pesa ianyoingizwa kwenye mzunguko inaweza kununua huduma na bidhaa zote sidhani ndo maana hati fungani serikari huwa inatoa ili ipate fedha kutoka kwa wananchi kurun projects zake sidhani kama pesa inayoingizwa kwenye mzunguko imelenga kununua madawa ya kulevya,bhangi,marijuana, au kuizika kwa mazindiko ya waganga . Na hizi huduma ndo hunyonya pesa nyingi zilizokwenye mzunguko so unakuta pesa supplied na BOT imepungua kununua huduma zilizopangwaa so unakuta hata ungefanya huduma gani nzuri ili unyakuwe na wewe ile pesa kwenye mzunguko kupitia wateja unakuta hupati wateja coz nawao wanakuwa hawana big cash, kumbuka wale jamaa wa madawa ya kulevyanwameshanyakuwa pesa nyingi kwenye mzunguko na wamezipaki tu sometimes ziko offroad wamezitunza tu chini ya uvungu teali wamewapunguzia kwenye mzungukoo nyie wasakatone inawabidi mbadilishe aina ya kutoa huduma au kuuza bidhaa ili kuwavuta wenye deep cash account ili wawape pesa iliyokwenye mzunguko, hapa huwezi kuuza mgahawa ukategeemea MOW dewiji aje ale kwako akupe pesa ni ngumu sanaa, ila unaweza kuwa na shamba kubwaa la korosho ukamuuzia mow dewiji hivyo sio kila huduma au bidhaa inawezaa kunyakuwa pesa kwenye mzunguko

na ndo maana huduma nyingi legally ni ngumu kutajirikaa mfano kuuza mchicha sokoni ni ngumu sana kuwa tajiri, unajua kwa nini watu shida hawaelewi ile pesa inayobe supplied by bank kuu, asimilia kubwa wanainyakuwa watu wakubwa wenye viwanda, makampuni, mfano dangote,MOW, bakresa,wafanya biashara wakubwa wa mifugo, kilimo, uvuvi sasa wewe mwenye low capital unayetoa huduma ili iwafikie watu wa chini ukitegemea wakuletee pesa yao, unakuta teali guruzi washachukua pesa nyingi na imebaki kidogo sana kwenye mzunguko, na hiyo kidogo wasakatonge wote wanaitaka wagawanee waendeshe maisha yao, so unakuta inakuwa ngumu sanaa wewe kuwa tajiri coz huduma yako haijalenga kunyakuwa pesa kutoka kwa shaka zuluz ila imelenga kuchukuwa kutoka kwa wasakatonge

sasa jamani inabidi huduma yako iwalenge wale shak zoruzi ili wakupe pesa utajirike na sio hawa wasakatonge.

mimi nadili na FOREX sasa najiuliza ikitokea broker wa njee nimemla say usd 100000 sawa na tsh 230millioni, na akiingiza bank ikabadilika kuwa tsh je nayenyewe inachukuwa pesa iliyokwenye mzunguko????? sasa kama ni ndio je bank kuu ilipigia hesabu kuwa kuna watu wanachukua pesa yetu kwenye mzunguko kupitia FOREX??? na kama ni hivyo mimi ninayetrade nitachukuliwa kamaa nimetoaa HUDUMA au BIDHAA hadi kufikia kupata hizo tsh cash??? je kama ndio je bank kuu inatukonsida na sisi ikiwa inasolve total services and goods zilizopoto ndani ya nchi?? kama jibu ni hapana basi maisha yataendelea kuwa magumu sanaa coz na sisi tunakuwa miongoni wa watu wakubwa tunaonyakuwa pesa nyingi kwenye mzunguko yaani hatufaamiki tunakuwa kama wale wafanya biashara wa magendo kama madawa ya kulevya,bangi,mapembe ya tembo, n.k

yaani hadi hapa nimeamini, hii law ya mendelio kwamba survive for the fittest, wale wanjanjaa wataendelea kunenepa na wale zobaa watendelea kulialia na kukondaa , ndo maana maisha tafsri yake mojawapo wanasema MAISHA ni ujanja kweli ni ujanja

we endelea kufanya kufanya zero risks business unategemea kwa siku upate faida ya tsh 500, kama utakuwa tajiri tutaonana muda wa fainali ukifikaa we bado unaishi kwenye slope wenzanko wanaishi kama mbinguniii unaanza kusema kupata ni mipango ya mungu, so hata wanaoiba na kujengaa majumbaa wamepangiwa na mungu au shetanii?

maFOREX traders nawasalimu sanaa sijui mnaendleaje huko mmechomaa teali au ndoo mnaendlelea kumtapishaa broker???
 
Aliyefanikiwa kweli Hana muda wa kum-motivate mtu kipuuzi namna iyo.

Otherwise Ukitaka kua motivated, atakumotivate juu juu TU kimasihara.
Ila kiuhalisia ukiingia kichwa kichwa lazima. Upoteane.

Ukweli Ni kwamba,
Mafanikio yanaambatana na ubinafsi na usiri mkubwa.
( Aliyefanikiwa kamwe Hataki Chaka lake la kupigia pesa ulijue)
Hii ni kupunguza washindani, wachawi, wanoko, masnitch na wavimba macho.

Ukiona umesaidiwa njia za pesa na mwenye pesa,
Jua na yeye anajua Kuna namna atafaidika na wewe kwa namna moja ama nyingine.
Iwe leo, kesho au kwa baadae.
(HUO NDO UBEPARI WENYEWE, No free lunch)

NB: SIRI YA UTAJIRI NI KUTUNZA SIRI
Ukiwa kilopolopo kamwe hutoiona Ela, na kamwe hutokua tajiri hata sikU Moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
NB: SIRI YA UTAJIRI NI KUTUNZA SIRI
Ukiwa kilopolopo kamwe hutoiona Ela, na kamwe hutokua tajiri hata sikU Moja. ahaa kaka yaani umenifrahishaa sanaa yanii nakumbuka tukiwa katavi mpanda chimbo la dhabau isulamilomo, katika kutafuta ramani ya kuchimba ili kupata madini, tulishauliwa kwenda msituni kuongea na mzimu unaitwa KATABI nazani ndicho chimbuko la jina katavi, sasa tulikesha usiku peke etu tukisubuilia aje katabi , baadae nakumbka tulipata malekezo ya kwamba inabidi kwenda kumuomba mlinzi aliyeshikiria madini ambaye ni jini mwanamke anaitwa MAIMUNA, ambaye anapatikana mutoni, huwezi amini tulifunga safari hadi mutoni ni mbali sanaa tuliingia mtoni tukiwa tupu then mtaalamu akapandishaa alikuwa mdada mdogo sanaa 20 years ili kumkaribishaa jini maimunaa, mala gafla sauti ikabadilika kutoka ile ya mwanzoo ikaja ya mwanamke anaongea kwa speed, kumbe ndo maimunaa, alisema sasa sikizileni tunaendaa kufungaa mkatabaa maana mali ya majini ni ngumu sanaa kupataa, daaaa nilishtukaa sanaa nikasema au ndo tunaunganishwaa freemason???

kilichofataa daaa!!!!!!!!!!!!

nikajisemea utajiri unasiri sanaa usione mtu anamiliki gari kubwaa na nyumba kari sanaa, kama ningefanikiwaa sidhani kama kuna mtu ningemwambia A to Z nilikopitaa ndo maana wanasema ili uwe tajiri inabidi ufanye vitu amabavyo wenzako wameshindwaa kufanyaa ili kuondoa upinzanii

Asee utajiri si MCHEZO ukipewa siri unaweza zimia hapohapo usimuone mtu anatabasamu tu, unaweza sema labla alikuwa anakamia kuswali salaa nyingi kwa siku ahahaha! ndo maana masikini ni wengi sanaa, ni sawa inawapasa iwe hivyo maana utajiri sio mchezo

huwezi fanikiwa na kuwa tajiri kama hujariziki hivi
  1. UHAI, hapa ndo kafara zinafanyika na ndoo wengii
  2. FEDHA, hapa napo ni wachache snaa, unawekeza mil 200, ukitegemea upate 1 billion huo ujasiri sio mchezo ni wachache sanaa, na mimi nataka kutokea hapaa utajiri wangu
  3. MUDA, hapa napo ni wengi wanawekeza muda mwingi kujifunza technique nyingi za kuwafanya kuwa matajiri, na mimi hapa nahusikaa so utajiri wangu umelenga kurisk MUDA na FEDHA sanaa ila UHAI hapana asee
 
Back
Top Bottom