Naomba kujuzwa kwa wale waliofanya interview written na oral pale erolink kwa ajil ya customer care voda, vp wameshaita watu kuanza training?
hapa walishahama vile,,, wapo masaki opposite na marry brown masaki... kama una daladala panda za masaki hadi mwisho, teremka na ulizia marry brown ni mwendo kama wa dakika tano hv... ndipo walipo ofisi mpyaShuka morocco fanya kama unaenda mwenge pta sheli ya bonjour thn nyooka na road ukiwa umeambaambaa ukuta wa kanisa fulan mpk mwisho wa fance, kunja kushoto thn nyooka moja kwa moja utawaona tu
hapa walishahama vile,,, wapo masaki opposite na marry brown masaki... kama una daladala panda za masaki hadi mwisho, teremka na ulizia marry brown ni mwendo kama wa dakika tano hv... ndipo walipo ofisi mpya