Waliofanya interview Erolink

Waliofanya interview Erolink

Opticf

Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
62
Reaction score
4
Naomba kujuzwa kwa wale waliofanya interview written na oral pale erolink kwa ajil ya customer care voda, vp wameshaita watu kuanza training?
 
hv hi erolink iko wap. . . Heb naomba unielekeze na mimi ntafte huo ucustomer care
 
Shuka morocco fanya kama unaenda mwenge pta sheli ya bonjour thn nyooka na road ukiwa umeambaambaa ukuta wa kanisa fulan mpk mwisho wa fance, kunja kushoto thn nyooka moja kwa moja utawaona tu
 
Hivi hawa hawa jamaa mi huwa siwaelewi sababu watu wengi tuliofanya intervew pale kila mtu ninayemuliza bado hawajamwita sasa sijui wanawaita watu gani?au tuseme wote ndo tulichemsha interview yao jamani!
 
Shuka morocco fanya kama unaenda mwenge pta sheli ya bonjour thn nyooka na road ukiwa umeambaambaa ukuta wa kanisa fulan mpk mwisho wa fance, kunja kushoto thn nyooka moja kwa moja utawaona tu
hapa walishahama vile,,, wapo masaki opposite na marry brown masaki... kama una daladala panda za masaki hadi mwisho, teremka na ulizia marry brown ni mwendo kama wa dakika tano hv... ndipo walipo ofisi mpya
 
wala wapo sana morocco wamejaa tele tena interview za voda wanapiga paleplae moroco,nenda mwaya
 
Back
Top Bottom