Waliofanya Interview Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa/Nachingwea tujuzane

Waliofanya Interview Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa/Nachingwea tujuzane

majorbuyoya

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
1,828
Reaction score
567
Habari zenu wana-JF! Natanguliza heshima mbele.

Ndugu zangu, wengi wetu huwa tunategemea kupata taarifa kupitia mtandao huu wa kijamii kutokana na umaarufu na uhakika wa taarifa zinazowekwa hapa jamvini.
Mwezi April 18-21 kulikuwa na Interview kwa nafasi mbali mbali zilizotolewa katika Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa na Nachingwea. Mimi nilikuwa ni mmoja wa watu waliofanya Interview pale Maktaba Complex-Dar, Nilikuwa naomba kupata taarifa kutoka kwa wana JF kama tayari wameshaita kazini au bado na kama bado je inaweza kuchukua muda gani?

Shukrani zangu kwa wote mtakaoweka taarifa hapa.
 
Samahani kwa usumbufu " mzee wa njaa" mtatoa kwa kukadilia baada ya wiki ngapi?

Asanteni
 
Hiakaman, si umeona huyo jamaa wa kwanza kujibu amesema inaweza kuchukua kama mwezi mmoja from now. Tuwe wavumilivu maana serikali yenyewe ishatafuna hela za Halmashauri kwa matumizi ambayo yapo out of the budget
 
Back
Top Bottom