Habari za leo wakubwa
Leo ni siku nyingine inaisha kama siku nyingine. Straight to the point. 👇
Nimewaonea huruma sana leo waliofika katika interview ya TPA. Naambiwa maswali ya leo yalikuwa ya ubaguzi kabisa. Waliosoma HR,BBA,LAW,STATISTICS, ECONOMICS etc sidhan kama waliweza kujibu ule mtihan unless uwe umeona madesa.
Ushauri
Janga la ajira n kubwa sana lakini hupaswi kukata tamaa. Nauli unazopoteza wakati huu ipo siku zitarudi maradufu.
Leo watu wameitikia kwa wingi mkubwa sana na wote tunawaombea kutokata tamaa