Waliofanya Interview ya TPA leo DODOMA

Waliofanya Interview ya TPA leo DODOMA

Pepa la leo la tpa
Ports operation officer:
1. Define the folowing i) feeder ship ii) Dumerrage iii) heavy lift service iv)
2. Meanig of i) Quay transfer ii) storage operation iii) ship operation iv) delivery and receipt operation v)
3. Documents required in: i) general cargo clearing, ii) motor vehicle, iii) Container terminal movement iv) Transhipment
4. a) what is stowage plan b) 3 main content of a stowage plan
5. Steps of handling a truck that came to pick up a ceared good.
Hii ni mauaji yani hapo ningerusha rusha ngumi tu kwenye demurage, na document required hapo ila kwengine chooni🤣🤣🤣
 

Hii ni mauaji yani hapo ningerusha rusha ngumi tu kwenye demurage, na document required hapo ila kwengine chooni🤣🤣🤣
Hiyo paper ni ya kibabe mno, kuwaotea utumishi ni kazi sana. Labda tuwe tunaingia na simu kwenye Paper hii ndio solution.
 
Hii ni mauaji yani hapo ningerusha rusha ngumi tu kwenye demurage, na document required hapo ila kwengine chooni🤣🤣🤣
Mie hata demurrage nimeisahau, sijui hii pepa ningepata ngapi maana kila kitu naona nimesahau
 
Yaani mtu anapata 72 halafu kuna mwenzake kapata 1.

Hawa wote ni wahitimu wa elimu ya juu hawa.

Mjegeja za kichwa

Inaitwa ahsante kwa kushiriki, ukute wa 01 na nauli aliungaunga 😂😂😂
 
Habari za leo wakubwa
Leo ni siku nyingine inaisha kama siku nyingine. Straight to the point. [emoji116]

Nimewaonea huruma sana leo waliofika katika interview ya TPA. Naambiwa maswali ya leo yalikuwa ya ubaguzi kabisa. Waliosoma HR,BBA,LAW,STATISTICS, ECONOMICS etc sidhan kama waliweza kujibu ule mtihan unless uwe umeona madesa.
Ushauri
Janga la ajira n kubwa sana lakini hupaswi kukata tamaa. Nauli unazopoteza wakati huu ipo siku zitarudi maradufu.
Leo watu wameitikia kwa wingi mkubwa sana na wote tunawaombea kutokata tamaa
Ndio ajira
 
sasa umesoma HR.BBA.LAW..sjui UFUGAJI WA KUKU unafanya usaili wa kada ya transport una akili???? lazima uende Dom kutalii tu.,waacheni wenye kada ya TRANSPORT & SHIPPING...omba kazi kulingana na kada yako..ili USILE ZA USO
 
Back
Top Bottom