DaahHabari za leo wakubwa
Leo ni siku nyingine inaisha kama siku nyingine. Straight to the point. [emoji116]
Nimewaonea huruma sana leo waliofika katika interview ya TPA. Naambiwa maswali ya leo yalikuwa ya ubaguzi kabisa. Waliosoma HR,BBA,LAW,STATISTICS, ECONOMICS etc sidhan kama waliweza kujibu ule mtihan unless uwe umeona madesa.
Ushauri
Janga la ajira n kubwa sana lakini hupaswi kukata tamaa. Nauli unazopoteza wakati huu ipo siku zitarudi maradufu.
Leo watu wameitikia kwa wingi mkubwa sana na wote tunawaombea kutokata tamaa
Mtihani ulibase nyanja ipi zaid mkuu?Habari za leo wakubwa
Leo ni siku nyingine inaisha kama siku nyingine. Straight to the point. [emoji116]
Nimewaonea huruma sana leo waliofika katika interview ya TPA. Naambiwa maswali ya leo yalikuwa ya ubaguzi kabisa. Waliosoma HR,BBA,LAW,STATISTICS, ECONOMICS etc sidhan kama waliweza kujibu ule mtihan unless uwe umeona madesa.
Ushauri
Janga la ajira n kubwa sana lakini hupaswi kukata tamaa. Nauli unazopoteza wakati huu ipo siku zitarudi maradufu.
Leo watu wameitikia kwa wingi mkubwa sana na wote tunawaombea kutokata tamaa
Ukiona kimya,ujue hali haikua nzuriIlikuwaje sasa
Mtihani ulibase nyanja ipi zaid mkuu?
Au Kuna watu wao tayari hiwezekan mtu aliyesoma hr aulizwe swali la electrical engineeri
DuhMtihani ulikuwa masuala ya bandari tu.
Kama hujawah fika au kujua kazi za mule basi umeisha
OkHabari za leo wakubwa
Leo ni siku nyingine inaisha kama siku nyingine. Straight to the point. π
Nimewaonea huruma sana leo waliofika katika interview ya TPA. Naambiwa maswali ya leo yalikuwa ya ubaguzi kabisa. Waliosoma HR,BBA,LAW,STATISTICS, ECONOMICS etc sidhan kama waliweza kujibu ule mtihan unless uwe umeona madesa.
Ushauri
Janga la ajira n kubwa sana lakini hupaswi kukata tamaa. Nauli unazopoteza wakati huu ipo siku zitarudi maradufu.
Leo watu wameitikia kwa wingi mkubwa sana na wote tunawaombea kutokata tamaa
Pepa la leo la tpaMaswali gani yalitoka km unayakumbka?
[emoji2][emoji3][emoji3][emoji3] Sasa mtu umesoma sociology una apply Ports operation utatoboaMkuu yaani unatuombea tusikate tamaa au siyo? Kwa tulichokiona unadhani tutasogeza tena pua utumishi?
Mhhhh huu ni unyama aisee, Utumishi sio poa.Pepa la leo la tpa
Ports operation officer:
1. Define the folowing i) feeder ship ii) Dumerrage iii) heavy lift service iv)
2. Meanig of i) Quay transfer ii) storage operation iii) ship operation iv) delivery and receipt operation v)
3. Documents required in: i) general cargo clearing, ii) motor vehicle, iii) Container terminal movement iv) Transhipment
4. a) what is stowage plan b) 3 main content of a stowage plan
5. Steps of handling a truck that came to pick up a ceared good.
Wallah hii pepa imesimamaPepa la leo la tpa

Mkuu, lips π zako nimezipendaWallah hii pepa imesimama
Nadhani cut off inaweza kuwa chini
Cha muhimu ni kuwa na imani maana asilimia kubwa wametoa lawamaWallah hii pepa imesimama
Nadhani cut off inaweza kuwa chini
Ahsante mkuuMkuu, lips π zako nimezipenda0Aa