Kigongoi kwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 571
- 676
nonsense,Katika mazingira ya kawaida maadui wake waliotaka kumtoa uhai hawafurahishwi huyu bwana kuendelea kuishi.
Walitegemea wangemaliza historia yake lakini wakashindwa.
Ukiacha maeneo mbalimbali ya kisheria aliyopitia na kushinda lakini ukweli unabaki wazi kwamba hawawezi kukubali awe huru kwa sababu wanamuogopa.
Hilo jeshi la mtu mmoja si mtu wa tamaa na hata anaopingana nao kwenye siasa wanaelewa Hilo.
Kwa sasa hivi;baada ya kukamatwa na kufunguliwa kesi tumaini kubwa la watesi wake ni kuhakikisha kwamba hafanikiwi katika kesi hiyo na kwamba
Aione BashiteKatika mazingira ya kawaida maadui wake waliotaka kumtoa uhai hawafurahishwi huyu bwana kuendelea kuishi.
Walitegemea wangemaliza historia yake lakini wakashindwa.
Ukiacha maeneo mbalimbali ya kisheria aliyopitia na kushinda lakini ukweli unabaki wazi kwamba hawawezi kukubali awe huru kwa sababu wanamuogopa.
Hilo jeshi la mtu mmoja si mtu wa tamaa na hata anaopingana nao kwenye siasa wanaelewa Hilo.
Kwa sasa hivi;baada ya kukamatwa na kufunguliwa kesi tumaini kubwa la watesi wake ni kuhakikisha kwamba hafanikiwi katika kesi hiyo na kwamba
Ile safari kwa Putin ilikuwa kwa ajili ya nini vile?nonsense,
hayupo wa kumuogopa kibaraka useless wa mabwenyenye ya magharibi kama huyo π
labda umuulize Trump gentleman πIle safari kwa Putin ilikuwa kwa ajili ya nini vile?
Tukumbushe
πππ,sasa walimpiga risasi kwa kosa gani?nonsense,
hayupo wa kumuogopa kibaraka useless wa mabwenyenye ya magharibi kama huyo π
Nazungumzia aliyeshambuliwa asiyejulikanaUnaandikaga mambo mengi sana halafu hayaelewek
Yes Kristo wa Nazareth sio?ππππ,sasa walimpiga risasi kwa kosa gani?
haya mchukueni na mkamnyonge hadi kufa sasa! ila Ole wenu Mungu amfufue! Mtalia na Kusaga Menononsense,
hayupo wa kumuogopa kibaraka useless wa mabwenyenye ya magharibi kama huyo π
atakula kitanzi kwa mujibu wa sheria za nchi na sio vinginevyo πhaya mchukueni na mkamnyonge hadi kufa sasa! ila Ole wenu Mungu amfufue! Mtalia na Kusaga Meno
Kwani bwanyenye Trump ndiye alifadhili safari ile na mafuta ya ATC?labda umuulize Trump gentleman π
hilo anaweza kueleza zaidi David McAlister wa EU gentleman πKwani bwanyenye Trump ndiye alifadhili safari ile na mafuta ya ATC?
Nilitaka nishangae hii comment kumbe ni gen z joined 2026Wabongo siku hizi kila mdau anajifanya ni mtu wa Code
Ngoma ya Moscow ucheze weye, halafu umsingizie mpiga msondo!hilo anaweza kueleza zaidi David McAlister wa EU gentleman π
KUMBUKA: Aliyeamuru apigwe risasi na kuawa, sasa hivi ni marehemu. Kweli maisha ni fumbo. Yaani unatoa amri fulani auawe na anapigwa risasi na kupona halafu wewe unakufa.Katika mazingira ya kawaida maadui wake waliotaka kumtoa uhai hawafurahishwi huyu bwana kuendelea kuishi.
Walitegemea wangemaliza historia yake lakini wakashindwa.
Ukiacha maeneo mbalimbali ya kisheria aliyopitia na kushinda lakini ukweli unabaki wazi kwamba hawawezi kukubali awe huru kwa sababu wanamuogopa.
Hilo jeshi la mtu mmoja si mtu wa tamaa na hata anaopingana nao kwenye siasa wanaelewa Hilo.
Kwa sasa hivi;baada ya kukamatwa na kufunguliwa kesi tumaini kubwa la watesi wake ni kuhakikisha kwamba hafanikiwi katika kesi hiyo na kwamba
Watashindwa kwa jina la YesuKatika mazingira ya kawaida maadui wake waliotaka kumtoa uhai hawafurahishwi huyu bwana kuendelea kuishi.
Walitegemea wangemaliza historia yake lakini wakashindwa.
Ukiacha maeneo mbalimbali ya kisheria aliyopitia na kushinda lakini ukweli unabaki wazi kwamba hawawezi kukubali awe huru kwa sababu wanamuogopa.
Hilo jeshi la mtu mmoja si mtu wa tamaa na hata anaopingana nao kwenye siasa wanaelewa Hilo.
Kwa sasa hivi;baada ya kukamatwa na kufunguliwa kesi tumaini kubwa la watesi wake ni kuhakikisha kwamba hafanikiwi katika kesi hiyo na kwamba
SHUT UPatakula kitanzi kwa mujibu wa sheria za nchi na sio vinginevyo π