Waliofanya jaribio dhidi ya yake hawatapendwezwa awe huru.

Asingeogopwa angekuwa huru kama Kigaila na Yericko na kina Zitto aachiwe akajihangkie huko mitaani hana madhara huyo
mkiuka sheria aachiwe huru kivipi kwa mfano gentleman?

hata ujifanye mwendawazimu wa aina gani utaswekwa ndraaani bila huruma wala aibu ili utie adabu πŸ’
 
mkiuka sheria aachiwe huru kivipi kwa mfano gentleman?

hata ujifanye mwendawazimu wa aina gani utaswekwa ndraaani bila huruma wala aibu ili utie adabu πŸ’
Hakuna sheria kimsingi aloikiuka huyo yupo hapo ili wanasiasa wenzake wapumue
 
Hakuna sheria kimsingi aloikiuka huyo yupo hapo ili wanasiasa wenzake wapumue
Gentleman,
kipi kina msotesha korokoroni mpaka anawahangaisha na kuwaaibisha akina heche akina myika, brenda na amani kizimbani?

watu wa watu wanatetemeka hata hawajui wanawezaje kumnusuru mwenyekiti wao kwenye kitanzi alichojipiga mwenyewe kwa ujinga wake binafsi πŸ’
 
nonsense,
hayupo wa kumuogopa kibaraka useless wa mabwenyenye ya magharibi kama huyo πŸ’
Sasa akili ndogo... Hivi kweli lissu atakua kibaraka wa mabeberu au nyie? Nyie ndio mnatembeza bakuli kila eneo kwa mabeberu. Angalia project nyingi mmeomba msaada kwa mabeberu!! Ukiwa 🍏 ni lazima akili irudi on that bums?
 
akili kubwa tuliza mihemko useless jukwaani basi na uchangie mjadala mahususi uliopo mezani bila kuweweseka wala makasiriko na itapendeza zaidi πŸ’
 
Dawa mzee wa kigongoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…