Waliofanya kazi na Magufuli wamevumilia mengi

Hata mama Samia atakuwal kamvumilia mengi saana, Jamaa hakuwa na staha kabisa!! Kuna siku alimtukana waziri eti Pumbafu....sikuamini kabisa.
Kwani i mara moja. Yeye mwenyewe marehemu aliwahi kitamba kuwa Kabudi na Mpango hawasemi tu ila waliwahi kula pumbavu nyingi sana. Na aliposema hivyo, mnafiki Kabudi alibaki anatanasamu.
 
Kwani Magu alikuwa mtu yule?
 
Kabisa hata DPC Msigwa sasa ameanza kupost facebook akifanya mazoezi na kufurahi lakini kipindi chote cha JIWE hajawahi kupost vitu kama hivyo maana aliogopa kutumbuliwa.
 
Una akili timamu?
Hili jambo nimesimuliwa na mhusika ambaye ni mfanyakazi mwenzangu kada moja.
Hakunisimulia ili kumpondea Magufuli, kuna jambo alinielezea ikabidi ligusiwe na hili.
ujinga mlikuwa mnajazana na huyo mpuuzi mwenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…